Mwana FA na J DEE

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,782
Reaction score
3,199
Leo kwenye XXL ya clouds nimemsikia mwana FA akitangaza shoo yake itakayofanyika trh 31 maeneo ya makumbusho kwa kumbukumbu zangu siku hiyo nayo Ladyjdee atafanya shoo yake nyumbani lounge ya kufikisha miaka 13 ya muziki wake

Kwanii mwana FA asinge mpisha kwanza kwa sababu yeye J dee ndo aliwahi kutangaza?
 
We acha tu huyu dada anapita pagumu ila Mungu atamsaidia..naamini hiyo haiwezi hathiri shoo yake kwani mashabiki wa jide wataenda kwake na wa fa pia kwake so itakuwi fine.
 
Huenda mwana fa kakubali kutumiwa na clouds kama toilet paper
 
Huyu mwan FA anatumika sana hata kwenye bifu na clouds fm na sugu huyu dogo alitumika pia
 
gamba jingine hilo atabaki hvyohvyo mwenzie ay yuko mbali
 
ni mwanamziki mwenye elimu kubwa kwa Tanzania,lakini FHA ajabu ni mwanamziki snitch Moines Tanzania anayetumika kuliko hata kina Linah kisa kahaidiwa unintended pale Muheza kupitia CCM,ni mpuuzi tu asiejitambua na kwenye kujikomba!!!
 
Sio sawa kutaka kupambanisha vitu ambavyo haviendani. Na sidhani kama kuna tatizo show zikifanyika siku moja. Tuwatakie heri.
 
Sio sawa kutaka kupambanisha vitu ambavyo haviendani. Na sidhani kama kuna tatizo show zikifanyika siku moja. Tuwatakie heri.

Sio kila aliye soma elimu imemsaidia wengine huenda shule kukua na kupunguza disturbance nyumbani huyu dogo anawezakuwa mojawapo. Hata hivyo mwana FA. Is lolote kwa JDEEE mama uko juu wanakupiga teke ni kama wanakuongezea mwendo upo juu sana hii takataka isikupotezee appetite
 
Na veti kapaki nyumbani kajitolea maisha yake mziki akati time zake zimepita asubiri wajao atakama anajua. Sijakata but mmh. Atulie.
 
Hakuna dhambi mbaya hapa JF kama Dhambi ya kukurupuka...
Kwa mujibu wako Show ya Mwana FA inafanyika Tarehe 31...
Na kwa mujibu wako pia Show Ya Jide itapigwa tarehe 13...

shtuka
Uwe unasoma kwa kurudia rudia kabla hujajibu swali lolote, hata walimu wetu walituambia hvy , rudi tena kwenye heading mheshimiwa!!
 
Mwanafa mwenyewe mziki umemshinda anabaki kukopi tu!!
 
FA na JayDEe wamekuwa marafiki katika muziki siku mingi sana, na wote si wanatokea BHits??

Sasa kuna nini hapa???

Au ndio yaleeee walosema vinega na Benzi jekundu?
 
haka ka FA si ndio kana miaka 50 then kanijadai kakijana, shame kama TP tu
 
Fa hana shukrani tunakumbuka walivobebwa na Gwamaka Kahiula (GK) hadi wakatoka ila ameshasaau kwa JIDE hafurukuti ata kidogo kama vipi atangulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…