Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Unapata tabu wakati mwenzako anakula maisha acha tabia za kimaskini ndugu utakufa vibayanilikuwa na mkubari sana mwana FA ila alivoingia ccm tu na kupata ubunge wa vimemo na nyimbo zake zote mpaka zile za nyuma nikazichukia sababu zimekaa kiccm
Bhakresssaaaa"koh koh..konde boy kum* namba wani"
Roho mbaya itakuuanilikuwa na mkubari sana mwana FA ila alivoingia ccm tu na kupata ubunge wa vimemo na nyimbo zake zote mpaka zile za nyuma nikazichukia sababu zimekaa kiccm
Huyu jamaa kashaacha uchawa kwa yule jamaa wa gsm!?
Mkumbusheni Adadi Rajabu bado ana kinyongo cha kukatwa jina.Kuna wapuuzi wanamponda Mwanafa kuwa CCM,halafu kwenye jukwaa la siasa wanalalamika inchi haina Demokrasia.
Sasa unajiuliza hivi Demokrasia maana yake wanaijua. Wewe kama hutaki kusikiliza Mwanafa kwa ajili ya ujinga wako wa kutoelewa Demokrasia husisikilize sisi tutamsikiliza.
Kuna maisha nje ya siasa.
Mashair mazuri Sana,
Video nzuri Sana,
Tatizo beat bovu sana
Hata Sijui,Ni prodyucer yupi aliyewagongea beat mkuu?