Mwana FA ni Jay Z wa Tanzania

Mwana FA ni Jay Z wa Tanzania

Kali sanaa, muziki wenye kumeki sensi 🔥🔥🔥

Ila Maua sama angepiga harmony zake hapo ingekuwa kali zaidi.. Sijui naota Ila huwa naona Falsafa akikaa na Jide (kitambo) na sama kwa track moja lazma iwe magic 🔥🔥
 
Kuna wapuuzi wanamponda Mwanafa kuwa CCM, halafu kwenye jukwaa la siasa wanalalamika inchi haina Demokrasia.

Sasa unajiuliza hivi Demokrasia maana yake wanaijua. Wewe kama hutaki kusikiliza Mwanafa kwa ajili ya ujinga wako wa kutoelewa Demokrasia husisikilize sisi tutamsikiliza.

Kuna maisha nje ya siasa.
 
Kuna wapuuzi wanamponda Mwanafa kuwa CCM,halafu kwenye jukwaa la siasa wanalalamika inchi haina Demokrasia.

Sasa unajiuliza hivi Demokrasia maana yake wanaijua. Wewe kama hutaki kusikiliza Mwanafa kwa ajili ya ujinga wako wa kutoelewa Demokrasia husisikilize sisi tutamsikiliza.

Kuna maisha nje ya siasa.
Mkumbusheni Adadi Rajabu bado ana kinyongo cha kukatwa jina.
 
Back
Top Bottom