Mwana FA: Serikali imetenga Tsh. Bilioni 400 za Mkopo kwa ajili ya Ujezi wa Arena na Studio

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema amesema kwenye Bajeti hii imetengwa Tsh. Bilioni 400 za Mkopo kutoka Exim Bank ya Korea kwa ajili ya Ujezi wa Arena wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge Festo Sanga, aliyehoji hatua zilizofikiwa na Serikali katika ujenzi wa Arena itayosaidia kukuza kazi za Wasanii, leo Aprili 2, 2026, Bungeni

Soma: Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam

🤣🤣
duh, nimekokotoa ni sawa na 154 million usd, yaani tunakopa zaidi ya usd milioni 150 kwa ajili ya kujengea bongo flava uwanja? *** these people man, ...
🤣😁😁 Na hizo event sio kwamba zitakuwa zinafanyika Kila weekend!? Mpaka kuirudisha hiyo return yake sio kitu Cha mchezo mchezo kazi Ipo
 
Arena wakati watu wanauwawa hizo arena waende mbuzi??

Maiti nyingine za October 29 ziko wapi?

Hakuna maigizo yatawasafisha hawa haramu.

Hiki ni kichaka cha kupiga pesa cha kikundi cha watu wachache na pia kutusahaulisha ripoti ya ufisadi ya uwanja .
 
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema amesema kwenye Bajeti hii imetengwa Tsh. Bilioni 400 za Mkopo kutoka Exim Bank ya Korea kwa ajili ya Ujezi wa Arena wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge Festo Sanga, aliyehoji hatua zilizofikiwa na Serikali katika ujenzi wa Arena itayosaidia kukuza kazi za Wasanii, leo Aprili 2, 2026, Bungeni

Soma: Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema amesema kwenye Bajeti hii imetengwa Tsh. Bilioni 400 za Mkopo kutoka Exim Bank ya Korea kwa ajili ya Ujezi wa Arena wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge Festo Sanga, aliyehoji hatua zilizofikiwa na Serikali katika ujenzi wa Arena itayosaidia kukuza kazi za Wasanii, leo Aprili 2, 2026, Bungeni

Soma: Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam

Dah
 
duh, nimekokotoa ni sawa na 154 million usd, yaani tunakopa zaidi ya usd milioni 150 kwa ajili ya kujengea bongo flava uwanja? *** these people man, ...
Hawa ni machawa Waulize bongo fleva inaingiza mapato kiasi gani mpaka kujengewe arena
 
Watajenga hao wasanii baadaye wakitaka kulipishwa kupiga show hapo ,watasema kodi ni nyingi ngoja kazi ianze hata lile daraja la kigamboni watu walifurahi sana mpaka ilipoanza tozo yake
 
Wizi mtupu, itatumika labda a few billions the rest zimeshatakatishwa watu wanakula
 
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema amesema kwenye Bajeti hii imetengwa Tsh. Bilioni 400 za Mkopo kutoka Exim Bank ya Korea kwa ajili ya Ujezi wa Arena wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge Festo Sanga, aliyehoji hatua zilizofikiwa na Serikali katika ujenzi wa Arena itayosaidia kukuza kazi za Wasanii, leo Aprili 2, 2026, Bungeni

Soma: Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam

Mpaka billion 4 tunakopa kama nchi haya ni maajabu
 
Back
Top Bottom