Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
StagedMwana FA amesema kwenye Bajeti hii imetengwa Tsh. Bilioni 400 za Mkopo kutoka Exim Bank ya Korea kwa ajili ya Ujezi wa Arena
View attachment 3566113
Mjengewe kumbi kubwa mkaburudike 😄Arena ndio nini?
Amandla...
Wao wanakimbilia arena sijui studiomngekopa iyo hela mkanunua mashine za dialysis mikoa yote nchini,
mpunguze gharama za usafishaji figo mngeonekana mna akili
Kwa sababu barabara zote saafi, maji hadi yanamwagikia, basi wabaki kuburudika tuMjengewe kumbi kubwa mkaburudike 😄
Ova
🤣😁😁 Na hizo event sio kwamba zitakuwa zinafanyika Kila weekend!? Mpaka kuirudisha hiyo return yake sio kitu Cha mchezo mchezo kazi Ipoduh, nimekokotoa ni sawa na 154 million usd, yaani tunakopa zaidi ya usd milioni 150 kwa ajili ya kujengea bongo flava uwanja? *** these people man, ...
Watu wenye akili pekee hufikiria km hivi ila sio wote watakubariana na huu ushauri ulioutoa sababu wanahisi Figo sio thamani zaidi kuzidi Arena ya wasaniimngekopa iyo hela mkanunua mashine za dialysis mikoa yote nchini,
mpunguze gharama za usafishaji figo mngeonekana mna akili
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema amesema kwenye Bajeti hii imetengwa Tsh. Bilioni 400 za Mkopo kutoka Exim Bank ya Korea kwa ajili ya Ujezi wa Arena wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge Festo Sanga, aliyehoji hatua zilizofikiwa na Serikali katika ujenzi wa Arena itayosaidia kukuza kazi za Wasanii, leo Aprili 2, 2026, Bungeni
Soma: Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam
DahNaibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema amesema kwenye Bajeti hii imetengwa Tsh. Bilioni 400 za Mkopo kutoka Exim Bank ya Korea kwa ajili ya Ujezi wa Arena wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge Festo Sanga, aliyehoji hatua zilizofikiwa na Serikali katika ujenzi wa Arena itayosaidia kukuza kazi za Wasanii, leo Aprili 2, 2026, Bungeni
Soma: Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam
Hawa ni machawa Waulize bongo fleva inaingiza mapato kiasi gani mpaka kujengewe arenaduh, nimekokotoa ni sawa na 154 million usd, yaani tunakopa zaidi ya usd milioni 150 kwa ajili ya kujengea bongo flava uwanja? *** these people man, ...
Mpaka billion 4 tunakopa kama nchi haya ni maajabuNaibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema amesema kwenye Bajeti hii imetengwa Tsh. Bilioni 400 za Mkopo kutoka Exim Bank ya Korea kwa ajili ya Ujezi wa Arena wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge Festo Sanga, aliyehoji hatua zilizofikiwa na Serikali katika ujenzi wa Arena itayosaidia kukuza kazi za Wasanii, leo Aprili 2, 2026, Bungeni
Soma: Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam