ana wazimu huyo hyo degree alitoa yeye chuon kwake?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bonny njaa inauma bwanaana wazimu huyo hyo degree alitoa yeye chuon kwake?
ha ha ha ha anajifanya anatujua sana huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bonny njaa inauma bwana
kucheka njaa inaumaaa!!!!
kweli jeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hujionagi unavyoshushuaga!ha ha ha ha anajifanya anatujua sana huyo
a ha ha ha ha mim huyo usinisingizie bwana mie nakupa facts tu aiseekweli jeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hujionagi unavyoshushuaga!
"Duke Suruali" 😀😀Rapa mwana fa anaefanya vizuri na wimbo wake wa "Duke Suruali " amefunguka na kuweka wazi hana tena mpango wa kufanya kazi na msanii lady jaydee.
Mwana FA alisema hayo kupitia kipindi cha planet bongo kunachorushwa na east Africa radio " kwasasa sina mpango tena kufanya Kazi na lady jay dee na hili swali sijui kwanini linajirudia Mara kwa mara na wasanii wengine na sina tatizo nao
View attachment 463452
Upo sahihi mkuuHahaaaaaaa,mpenzi Mnigeria eeeh,ngoja apigwe aje kulialia humu,analiwa timing tu akijitela tu kaisha,we wanaijeria usiwatanie kabisa,walishampiga dada mmoja wa kibongo tulipokuwa tunasoma kozi ya miezi 9 china,siku moja kabla ya kugraduate kakomba kila kitu kwenye akaunti ya yule dada,hadi leo yule mdada akili yake haipo sawa,alikombwa kama dola elf40 hv
Kazungmzia au kaulizwa ulitaka ajibuje jamaa kajibu ivo ili asiendelee kisumbuliwa na maswali ya dzain hiyo mm sioni kama kakosea kuwa honestMi ni shabiki wake kitambo ila iko wazi ishu yake na Jide anai-handle ki-kike sana iko wazi walikua maswahiba na walitengeneza bonge la chemistry toka wagombane yeye kama mwanaume alitakiwa aache kuzungumzia tu kuepusha shari.
Kazungmzia au kaulizwa ulitaka ajibuje jamaa kajibu ivo ili asiendelee kisumbuliwa na maswali ya dzain hiyo mm sioni kama kakosea kuwa honest
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sio kwa mishushu ileea ha ha ha ha mim huyo usinisingizie bwana mie nakupa facts tu aisee
ha ha ha ha unaua bendi bwana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sio kwa mishushu ilee
Kwani jide ana mpango wa kufanya kazi na fa ama anatafuta kiki...yule dem next levelRapa mwana fa anaefanya vizuri na wimbo wake wa "Duke Suruali " amefunguka na kuweka wazi hana tena mpango wa kufanya kazi na msanii lady jaydee.
Mwana FA alisema hayo kupitia kipindi cha planet bongo kunachorushwa na east Africa radio " kwasasa sina mpango tena kufanya Kazi na lady jay dee na hili swali sijui kwanini linajirudia Mara kwa mara na wasanii wengine na sina tatizo nao
View attachment 463452