Mwana FA: Sina mpango wa kufanya kazi tena na Lady Jay Dee

Mwana FA: Sina mpango wa kufanya kazi tena na Lady Jay Dee

ana wazimu huyo hyo degree alitoa yeye chuon kwake?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bonny njaa inauma bwana

kucheka njaa inaumaaa!!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bonny njaa inauma bwana

kucheka njaa inaumaaa!!!!
ha ha ha ha anajifanya anatujua sana huyo
 
Silioni kosa la Khamis Hapo, labda kama wenzetu mmeelewa vingine. Haijalishi swali lilikuwa mtego ama la! Jibu la Khamis halikuwa na ubaya. Tatizo hapa jukwaani mihemko na chuki ndizo zinazoongoza.
 
...mwanaume daima anakuwa straight;sina mpango,sina mpango..,fullstop!
...mliotaka ajibu vinginevyo mna vichembechembe vya unafki!
 
Rapa mwana fa anaefanya vizuri na wimbo wake wa "Duke Suruali " amefunguka na kuweka wazi hana tena mpango wa kufanya kazi na msanii lady jaydee.
Mwana FA alisema hayo kupitia kipindi cha planet bongo kunachorushwa na east Africa radio " kwasasa sina mpango tena kufanya Kazi na lady jay dee na hili swali sijui kwanini linajirudia Mara kwa mara na wasanii wengine na sina tatizo nao
View attachment 463452
"Duke Suruali" 😀😀
 
Hahaaaaaaa,mpenzi Mnigeria eeeh,ngoja apigwe aje kulialia humu,analiwa timing tu akijitela tu kaisha,we wanaijeria usiwatanie kabisa,walishampiga dada mmoja wa kibongo tulipokuwa tunasoma kozi ya miezi 9 china,siku moja kabla ya kugraduate kakomba kila kitu kwenye akaunti ya yule dada,hadi leo yule mdada akili yake haipo sawa,alikombwa kama dola elf40 hv
Upo sahihi mkuu
 
Mi ni shabiki wake kitambo ila iko wazi ishu yake na Jide anai-handle ki-kike sana iko wazi walikua maswahiba na walitengeneza bonge la chemistry toka wagombane yeye kama mwanaume alitakiwa aache kuzungumzia tu kuepusha shari.
Kazungmzia au kaulizwa ulitaka ajibuje jamaa kajibu ivo ili asiendelee kisumbuliwa na maswali ya dzain hiyo mm sioni kama kakosea kuwa honest
 
Ruge Mutahaba mhaya na mroho wa hela ndiye source ya kupandikiza Mbegu ya wasanii hata ambao hawana beef "bifu" na Jide waonekane wanamchukia. Wao haya ya wasanii kugombana wanafaidika sana sana. Jide songa mbele achana na mtu kama FA kwa mafanikio ya kimuziki hakufikii bado
 
Kazungmzia au kaulizwa ulitaka ajibuje jamaa kajibu ivo ili asiendelee kisumbuliwa na maswali ya dzain hiyo mm sioni kama kakosea kuwa honest

Sio kila swali lazima lijibiwe,nakufundisha na wewe kesho ukiwa mtu unaetazamwa na kusikilizwa na watu wanaokuzunguka hautakiwi kuacha alama hasi kwenye matendo au maneno yako najua bado hauwezi kunielewa duh.
 
Kick tu za mjin anataka
Huyu fa kwan
Kuna sku jaydee ameenda kumuomba colabo
 
Huu Mji mkubwa Bwana una vituko,Akishangaa Mwambie ataliwa MTUNGO.....Kuzoea watu mwisho
atazoea majini.
 
Rapa mwana fa anaefanya vizuri na wimbo wake wa "Duke Suruali " amefunguka na kuweka wazi hana tena mpango wa kufanya kazi na msanii lady jaydee.
Mwana FA alisema hayo kupitia kipindi cha planet bongo kunachorushwa na east Africa radio " kwasasa sina mpango tena kufanya Kazi na lady jay dee na hili swali sijui kwanini linajirudia Mara kwa mara na wasanii wengine na sina tatizo nao
View attachment 463452
Kwani jide ana mpango wa kufanya kazi na fa ama anatafuta kiki...yule dem next level
 
Back
Top Bottom