Mwana FA: Tulilipwa Bilioni mbili na milioni mia moja hamsini na tano baada ya kushinda kesi

Yani ulipwe bil 2,alafu uje uhangaike na ubunge
 
"...
In the event, I hold that, the Trial Court erroneously crowned itself with jurisdiction it didn't have, in entertaining and determining the suit not within it's mandate..."

Kwa Mahakama za CCM hii kitu hainishangazi. Ni kawaida.
Sijamuelewa msando kabisa kama ni kweli alifanya madudu haya hafai kuwa wakili. Kupeleka kesi kwenye mahakama isiyo na uwezo wa kutatua shauri ni hatari sana.
 
MIC wamepindua meza?

Jamaa walianza kutumia hela kabla haijaingia kwenye akaunti[emoji3]
The Dude Is Smart Upstairs...Deserves To Be The MP Kwa Watu Wa Mkuzi Na Amani!!

Wishing Him Exquisite Elections,aaamen aaaaamen.

Siempre Siempre CCM!!
Kesi aliinunua mwanasheria anayejua kulobbie
 
Kesi aliinunua mwanasheria anayejua kulobbie

Sijaelewa unamaanisha wanadaiwa hela walizolipwa au.. maana hela walishalipwa na zimemsaidia mwa fa kwenda sawa na wajumbe pamoja na biashara na kujenga nyumba kali
 
Yani ulipwe bil 2,alafu uje uhangaike na ubunge
Kwani aliichukua peke yake. msukuma na Shabiby wana mpunga mrefu sana lakini bado ni wabunge, hata marehemu filikujombe alikuwa na pesa ndefu sana lakini bado alikuwa mbunge. Bilion mbili ni pesa ndefu lakini ubunge unamfungulia njia mtu. Halafu una maslahi sana kwanza fikiria unavuta 12 milion kwa mwezi kwa miezi 12 ni 144, bado kuna posho na bado kuna vikamati humo ndani, kwahiyo mtu unaweza kukuta kwa mwaka anavuta 170 na ikiisha bado anaondoka na zaidi ya milion 200. Ndiyo maana kila mtu anataka kuwa mbunge haijalishi ana pesa kiasi gani.

Kwa wengine pia ni status kama Trump alivyo na pesa ndefu akaamua kuwa raisi tu kama status.
 
Hao nao walishindwa hata kumchukua hata kibatara
Ile kesi waliitengeneza wao watatu, ay, Fa na Msando na ela waliigawana. Na baada ya mgao Msando alijiondoa kwenye Law Firm aliyokuwa anafanya kazi. It was a business na hiyo pesa si ajabu wameila watu wengi mpaka kupatikana ushindi na ndiyo maana ukisoma hiyo hukumu inaonyesha hukumu ya awali ilikuwa na makosa mengi.
 
Hela walilipwa kweli.. maisha ya mwana fa na ay ya mwaka jana na juzi yalikuwa ya juu sana.. muziki sizani kama ndio uliomfanya aishi hivyo
Jamaa wana push rovers tu sahizi. Mradi wa fyn by Falsafa was a major hit.
 
Niisikia fyn zinauza vizuri kwasababu ni bei ya kawaida na zina package nzuri
Eeh strategy aliotumia imemlipa. Bei ya kawaida ndio key, sio ule upuuzi wa diamond na chibu perfume. Ilipotea chap sababu ya poor pricing strategy.
 
Eeh strategy aliotumia imemlipa. Bei ya kawaida ndio key, sio ule upuuzi wa diamond na chibu perfume. Ilipotea chap sababu ya poor pricing strategy.
That was a bad move linapokuja suala la kuuza commodities naona Chibu anafail kwenye pricing, hata karanga ziko 11 au 13 unauza 300, obviously watu watanunua kwa wingi mara ya kwanza kwasababu ya mzuka halafu mzuka ukiisha zitadoda. Zile perfume zake zilikuwa bei ghali sana na majority ya mashabiki wake ni watu wa vipato vya kawaida na chini ndiyo real fans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…