King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Si tuliambiwa walishalipwa mpunga ? FA si akafungua kiwanda cha pafyumu na AY akanunua jumba kalifonya?MIC wamepindua meza?
Jamaa walianza kutumia hela kabla haijaingia kwenye akaunti😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si tuliambiwa walishalipwa mpunga ? FA si akafungua kiwanda cha pafyumu na AY akanunua jumba kalifonya?MIC wamepindua meza?
Jamaa walianza kutumia hela kabla haijaingia kwenye akaunti😀
Msanii Hamis Mwinjuma aka mwanafa ameweka wazi kiasi cha pesa walicholipwa na kampuni ya simu iliyokuwa ikitumia nyimbo zao bila ridhaa.
Msanii Mwanafa na AY waliishitaki kampeni hiyo ya simu mahakamani mwaka 2011 na baada ya miaka 7 ya purukushani za mahakamani hatimaye mwaka 2018 walifanikiwa kupata amri ya mahakama ya kuattach akaunti ya benki ya kampuni hiyo na kufanikiwa kupata kiasi cha pesa 2.185 bilioni.
Mwanafa akihojiwa na mtangazaji Salama Jabir amesema pesa hizo zilitolewa kwenye akaunti ya benki ya kampuni hiyo ya simu na kuingizwa kwenye akaunti ya mwanasheria wao kabla ya wao kugawana fedha hizo.
Mwanafa amesema alitumia sehemu ya fedha hizo kuanzisha biashara mbalimbali ikiwemo perfume yake ya falsafa.
Mwanafa hakusita kuelezea historia ya maisha yake jinsi alivyolelewa kwa tabu kwa maisha ya kutanga tanga. Mwanafa amesimulia kuwa mara baada ya mama yake kupata ujauzito wake kulitokea sintofahamu kati mama yake na baba yake. Hali hiyo ilipelekea babu yake mzaa baba kuingilia kati na kumchukua mama yake na mwanafa na kuishi naye mpaka alipojifungua. Baada ya kujifungua babu yake alimrudisha shule mama yake na hivyo yeye (babu mzaa baba) kuendelea kulea kichanga hicho akishirikiana na bibi yake mwanafa wa kufikia (maana bibi yake mzaa baba alikuwa ameshatengana na babu yake hivyo babu yake akaoa mke mwingine).
Mwanafa akiwa na miaka 3 babu yake mzaa baba alifariki hivyo mwanafa akalazimika kwenda kuishi na mama yake aliyekuwa ameolewa jijini Dar es salaam. Akiwa na umri wa miaka 5 mama yake aliachika na kuamua kuolewa tena huku safari hii akiwa na watoto wawili mwanafa na mtoto mwingine mdogo. Kwa kuogopa kwenda kwenye ndoa na mzigo mkubwa ilibidi mwanafa arudishwa Muheza Tanga safari hii kwa Bibi yake mzaa baba na si bibi wa kufikia tena. Ameishi na kusoma muheza na sasa ni mgombea ubunge wa Jimbo la Muheza kupitia CCM.
Sikiliza zaidi
"...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1637273
🤷Si tuliambiwa walishalipwa mpinga ? FA si akafungua kiwanda cha pafyumu na AY akanunua jumba kalifonya?
Sijamuelewa msando kabisa kama ni kweli alifanya madudu haya hafai kuwa wakili. Kupeleka kesi kwenye mahakama isiyo na uwezo wa kutatua shauri ni hatari sana."...
In the event, I hold that, the Trial Court erroneously crowned itself with jurisdiction it didn't have, in entertaining and determining the suit not within it's mandate..."
Kwa Mahakama za CCM hii kitu hainishangazi. Ni kawaida.
Hao nao walishindwa hata kumchukua hata kibataraSijamuelewa msando kabisa kama ni kweli alifanya madudu haya hafai kuwa wakili. Kupeleka kesi kwenye mahakama isiyo na uwezo wa kutatua shauri ni hatari sana.
Yani ulipwe bil 2,alafu uje uhangaike na ubunge
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1637273
[emoji117]Attachement uliyoweka mbona majina hayahusiani na mwana fa na ay
MIC wamepindua meza?
Jamaa walianza kutumia hela kabla haijaingia kwenye akaunti[emoji3]
Kesi aliinunua mwanasheria anayejua kulobbieThe Dude Is Smart Upstairs...Deserves To Be The MP Kwa Watu Wa Mkuzi Na Amani!!
Wishing Him Exquisite Elections,aaamen aaaaamen.
Siempre Siempre CCM!!
Kesi aliinunua mwanasheria anayejua kulobbie
Mo Dewji, Shabiby, Abood wote Ni mabilionea, ongeza Gwajima, na wengine wengiYani ulipwe bil 2,alafu uje uhangaike na ubunge
Kwani aliichukua peke yake. msukuma na Shabiby wana mpunga mrefu sana lakini bado ni wabunge, hata marehemu filikujombe alikuwa na pesa ndefu sana lakini bado alikuwa mbunge. Bilion mbili ni pesa ndefu lakini ubunge unamfungulia njia mtu. Halafu una maslahi sana kwanza fikiria unavuta 12 milion kwa mwezi kwa miezi 12 ni 144, bado kuna posho na bado kuna vikamati humo ndani, kwahiyo mtu unaweza kukuta kwa mwaka anavuta 170 na ikiisha bado anaondoka na zaidi ya milion 200. Ndiyo maana kila mtu anataka kuwa mbunge haijalishi ana pesa kiasi gani.Yani ulipwe bil 2,alafu uje uhangaike na ubunge
Ile kesi waliitengeneza wao watatu, ay, Fa na Msando na ela waliigawana. Na baada ya mgao Msando alijiondoa kwenye Law Firm aliyokuwa anafanya kazi. It was a business na hiyo pesa si ajabu wameila watu wengi mpaka kupatikana ushindi na ndiyo maana ukisoma hiyo hukumu inaonyesha hukumu ya awali ilikuwa na makosa mengi.Hao nao walishindwa hata kumchukua hata kibatara
Jamaa wana push rovers tu sahizi. Mradi wa fyn by Falsafa was a major hit.Hela walilipwa kweli.. maisha ya mwana fa na ay ya mwaka jana na juzi yalikuwa ya juu sana.. muziki sizani kama ndio uliomfanya aishi hivyo
Niisikia fyn zinauza vizuri kwasababu ni bei ya kawaida na zina package nzuriJamaa wana push rovers tu sahizi. Mradi wa fyn by Falsafa was a major hit.
Eeh strategy aliotumia imemlipa. Bei ya kawaida ndio key, sio ule upuuzi wa diamond na chibu perfume. Ilipotea chap sababu ya poor pricing strategy.Niisikia fyn zinauza vizuri kwasababu ni bei ya kawaida na zina package nzuri
NotedEeh strategy aliotumia imemlipa. Bei ya kawaida ndio key, sio ule upuuzi wa diamond na chibu perfume. Ilipotea chap sababu ya poor pricing strategy.
That was a bad move linapokuja suala la kuuza commodities naona Chibu anafail kwenye pricing, hata karanga ziko 11 au 13 unauza 300, obviously watu watanunua kwa wingi mara ya kwanza kwasababu ya mzuka halafu mzuka ukiisha zitadoda. Zile perfume zake zilikuwa bei ghali sana na majority ya mashabiki wake ni watu wa vipato vya kawaida na chini ndiyo real fansEeh strategy aliotumia imemlipa. Bei ya kawaida ndio key, sio ule upuuzi wa diamond na chibu perfume. Ilipotea chap sababu ya poor pricing strategy.