Mwana FA: Tulilipwa Bilioni mbili na milioni mia moja hamsini na tano baada ya kushinda kesi

Ukiangalia tu gap lilipo baina ya wenye nacho na wasio nacho kibongo bongo ukiweka kwa ratio maybe ni 8:2!

Katika watu kumi wawili ndio wana disposable income ya kuweza kununua fancy stuff za malaki. Utapata pesa nyingi kwa mara moja ila biashara itaporomoka.
 
Hiyo ni kweli kabisa. Bakhresa ana akili sana, yeye commodity zake zinalenga majority. Nilisikia alisema Tanzania tuko zaidi ya milion 50, yeye akiwea kupata watanzania milion 25 ambao kila mmoja atampa shilingi mia kila mara basi inatosha.
 
Hiyo ni kweli kabisa. Bakhresa ana akili sana, yeye commodity zake zinalenga majority. Nilisikia alisema Tanzania tuko zaidi ya milion 50, yeye akiwea kupata watanzania milion 25 ambao kila mmoja atampa shilingi mia kila mara basi inatosha.
Ana akili sana mzee...falsafa yake huwa ni kuuza cheap kwa watu wengi zaidi.
 
Fedha hatari mkuu inakatika kama upepo!! Bil 1.2 imeishia kutengeneza FynByFalsafa kwa wakala?
Umewahi kuiona nyumba aliyojenga MwanaFA? unajua gari anazotembelea MwanaFA unajua projects zote anazofanya MwanaFA? na bado amekuwa mbunge. Huyo jamaa anajitambua na ana elimu ya kutosha. Kitendo tu cha kushinda ile kesi ni kutokana na kujitambua kwake. Wengi wameibiwa kazi zao ila wametulizwa na hela ya kula wametulia. Ni yeye na AY ndio waliweza kupambana na majabari, hiyo ni akili
 
Hivi kwa mfano mwamposa sio bilionea?
Kwa Jumapili moja hakosi milioni 80?

Sent using Jamii Forums mob
Kulikua na nabii Estha sijui hapo zamani mikocheni nyuma ya shoppers plaza Gwajima nafkiri alikua kidato cha pili km amesoma,
Sijui ameishia wapi huyo mteule wa mungu,ila mmh mama alikua anavutia balaa utaskiliza maombi penda usipende
 
Mwongo ni mwongo tu hata awe m'bubge ni mwongo.

Kuachilia mbali hii rufaa, HAMIS MWINJI-JUMA tunaomba utupe risiti ya Malipo TRA baada ya kupata hizo bilioni ulizosema.
 
Mwana FA amejenga wapi mkuu?
 
25,000,000 x 100 = 2,500,000,000

Hesabu iko vizuri.
Ni hesabu nzuri sana na huenda anaitengeneza kila baaada ya siku tatu, maana akiuza ukwaju, juice,, icecream, nazi, unga wa ngano, sembe, maji, yani kila day lazima auze mamilion ya products zake. Azam kapiga hesabu nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…