Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ukiangalia tu gap lilipo baina ya wenye nacho na wasio nacho kibongo bongo ukiweka kwa ratio maybe ni 8:2!That was a bad move linapokuja suala la kuuza commodities naona Chibu anafail kwenye pricing, hata karanga ziko 11 au 13 unauza 300, obviously watu watanunua kwa wingi mara ya kwanza kwasababu ya mzuka halafu mzuka ukiisha zitadoda. Zile perfume zake zilikuwa bei ghali sana na majority ya mashabiki wake ni watu wa vipato vya kawaida na chini ndiyo real fans
Katika watu kumi wawili ndio wana disposable income ya kuweza kununua fancy stuff za malaki. Utapata pesa nyingi kwa mara moja ila biashara itaporomoka.