Mwana fa tuzo yako iko wapi???

Mwana fa tuzo yako iko wapi???

Status
Not open for further replies.

you cant compaire vitu vyote hivo na education... hivo vitu vinaweza vikawaka moto akaanza from a scratch lakini mtu mwenye elimu yake ni yake mpaka pale mungu atakapomuita

una assume jinsia za watu probably we mgeni humu JF so plz B!tch watch ya mouth ii erase u like a drew u ..

you are obviously a confused girl who doesn't understand the game (Music Industry) .. do us a favor stay in kitchen & leave this to MEN

Ooops!!! But u did not answer my question kid...well, speaking of education I think u know nothing about it,so u better keep quiet,if your boyfriend(FA) is educated how could he be used as toilet paper??,its obviously he does not recognize himself,and still you call him educated person??,he does not have any asset in town,he is a looser,his education has help him nothing but being slave,your husband(FA) has a long way to go to reach jides level...
 
Cra.p napoteza muda wangu kujibizana na weye You are nothing but a bitter, uneducated , materialist twisted little b!tch . you are a disgrace to Tanzanians women population .... you poor deluded weirdo!! ... punguza wivu fanya yako uje uendelee!
 
Wito wangu kwa wachangiaji tujikite kwenye issue yake na Jide ila tusitumie ulemavu alio nao kwani hakupenda kuwa hivyo. Kumsema kwa kutumia udhaifu wa mwili huko ni kunyanyapaa na tukumbuke kuwa ndugu au mwanao anaweza kupata tatizo kama hilo. Samahani kwa nitakao kuwa nimewakwaza

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cra.p napoteza muda wangu kujibizana na weye You are nothing but a bitter, uneducated , materialist twisted little b!tch . you are a disgrace to Tanzanians women population .... you poor deluded weirdo!! ... punguza wivu fanya yako uje uendelee!

oooh!!!!,u consider yourself educated???,kwa cheti cha grobal college na course ya journalism ya miezi minne???,too bad,now I see u are not even of my class,go and upgrade yuself,BLOOD IMBECILE..
 
oooh!!!!,u consider yourself educated???,kwa cheti cha grobal college na course ya journalism ya miezi minne???,too bad,now I see u are not even of my class,go and upgrade yuself,BLOOD IMBECILE..

NoN SeNsE..!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Guys.....behave and beware.wakija kupatana hawa(jide&fa) sjui “ass-et poo-non" zenu mtazieka wapi!
 
jaman jaman temeni mate chini yaani mmemkashifu mwenzenu kwenye mziki mmeanza kuingilia hadi afya yake? Kwan mwenzenu alipenda? Plz muache hiyo tabia dunia tunapita msisahau Leo kwake kesho kwenu tena uskute hamjazaa bado, mungu na awasamehe

Racky nakupa like!!!
 
Jide anamiliki mgahawa classic wa NYUMBANI LOUNGE,ambao kaajili wafanyakazi lukuki,anamiliki band ya MACHOZI BAND,ana ma coaster kama matatu kwa ajili ya band yake,ana miliki mjengo wa maana uko mbezi kimara,kama unaangaliaga daily ya jide utakuwa umeiona,na sasa yupo kwenye mchakato wa kufungua radio station yake binafsi,aya huyo bwana wako FA anamiliki nini apa mjini???,kazi kujipendekeza kwa wanaume wenzie tu na ni wasi wasi kashafunguliwa kizibo na ruge

Daily!!!!???? Diary!!!!??? Typing error au!!!!??
 
Nakumbuka mwaka 2007 jide alikuwa na utajiri wa more than 500mils,mwanahamis mwijuma ana benzi jekundu tu la mwaka 80 hoptie.
 
Vilaza oyeeeeeeee!! Mnakasirika nn sasa ikiwa mnazungumza msivyovijua? Elimu isipokusaidia basi jiandae na mzigo wa ujinga, Dar es salaam ina wakazi wengi saaana na kila mtu anafanya muziki wa mahadhi yake na mashabiki wake ya nn kukashifiana kutoleana maneno ambayo wewe mwenyewe huwezi furahia ukisikia mwanao akimwambia mtoto wa jirani?
Kwa kile alichokuwa aki tweet Jd Jaydee jumapili mashabiki vilaza na wasio kuwa na mtazamo chanya watasaport na kumuona dada yao anajua sana kuongea ila kwa wachache tunaotazama mambo katika mtazamo chanya hatuwezi ruhusu hata wanetu wamshabikie mtu asiyejua thamani yake kwa jamii.

Weeee kilaza tukana ropoka uropokavyo watu wastaarabu lazima tukasikilize mziki mzuri mahali patulivu kwa watu wastaarabu.

We keep the good music alive.
##THE FINEST##

Upo sahihi,kuna watu wanakutupuka humu bila kujua wanaandika nn,.Kumwita mwanaume jina la kike ni kosa kusa kubwa na ni ushamba
 
HAHAHA jamaa mbwembwe nyingi kaishia kula ban maskin ya Mungu :lol:
 
Ndo matatizo ya kuchanganya siasa na burudani haya!! Hivi haa mashabiki wa Jide mbona wameibuka ghafla namna hii tena from nowhere?!
 
Nilimpa saluti Mwana-FA alipotoka na wimbo wake wa kwanza kabisa "INGEKUWA VIPI" Wasanii wenzake walimtukana sana kupitia nyimbo zao na hata mahojiano kwa kile walichoamini kwamba amewa-dis!! Hata kademu kama Sister P, alimtusi Mwana-FA lakini jamaa hakujibishana na yeyote kati yao! Wengi wao wamepotea lakini mchizi anasongesha kama kawa!!!

Wengi humu mutamtusi sana FA lakini hata kama angekuwa humu jamvini msitarajie kama angewajibu!! Huyo ndo FA!! Na wengi wenu humu wala si kwamba mna mapenzi na Jide sema tu mnachanganya siasa na burudani!! Jide ameugundua udhaifu na ameamua kuitumia nafasi hiyo ku-deceive watu....!! Na kwa hakika, amewakamata!!
 
Ndo matatizo ya kuchanganya siasa na burudani haya!! Hivi haa mashabiki wa Jide mbona wameibuka ghafla namna hii tena from nowhere?!

Usijali, hizi issue mbona mwisho wake ni kesho, na ongeza wiki moja ya kuwapambanisha kuhusu show zao. Baada ya hapo hautasikia kelele tena kuhusu Jd na Fa. Harakati za kweli alifanya Sugu na Anti virus na haikufanikiwa, ije iwe ya huyo bi mdada anayefanyia harakati zake twitter, Facebook, jamiiforums na kwenye ki blog chake!?
 
Huyu jamaa aache kujipambanisha na jide,kwanza hata tuzo ya kushirikishwa ajapata,sasa anapiga makelele ya nini??,kama yeye anajiona bora sana si angepata tuzo ya mwana hip hop bora???,mwana fa hana lolote yeye ndo kafulia na akabidhi kijiti,amwache jide aendelee kulamba tuzo,yani juzi kaishia kusindikiza watu walioshinda tuzo,sijui alikuwa anatak aonekane au vp,lady jaydee is the best,kama wewe ungekuwa una mashabiki sana au ni mwana hiphop bora ungeambulia hat tuzo ya kushirikishwa,yaani hat tuzo ya kusingiziwa kakosa afu unatak kupambana na mwanamke mpambanaji,tena mshukuru sana jide kwa kukupa chati kwenye ngoma zako kama ALIKUFA KWA NGOMA,HAWAJUI,MSIACHE KUONGEA na nyingine nyingi tu badala ya kushukur umepandishwa chati na wewe umeonekana unaanza kuleta mambo ya kijinga,kwanza fa nyimbo zake nyingi zilizobamba ni za kishirikishwa yeye peke yake hanogi kabisaaaaa angalia HABARI NDO HIYO na YALAITI,yaani huy kashazoea kubebwa na sasa kabebwa na clouds yaani ndo balaa,huyu jamaa sijui yukoje,amueshimu sana jide

ni kweli
 
Vilaza oyeeeeeeee!! Mnakasirika nn sasa ikiwa mnazungumza msivyovijua? Elimu isipokusaidia basi jiandae na mzigo wa ujinga, Dar es salaam ina wakazi wengi saaana na kila mtu anafanya muziki wa mahadhi yake na mashabiki wake ya nn kukashifiana kutoleana maneno ambayo wewe mwenyewe huwezi furahia ukisikia mwanao akimwambia mtoto wa jirani?
Kwa kile alichokuwa aki tweet Jd Jaydee jumapili mashabiki vilaza na wasio kuwa na mtazamo chanya watasaport na kumuona dada yao anajua sana kuongea ila kwa wachache tunaotazama mambo katika mtazamo chanya hatuwezi ruhusu hata wanetu wamshabikie mtu asiyejua thamani yake kwa jamii.

Weeee kilaza tukana ropoka uropokavyo watu wastaarabu lazima tukasikilize mziki mzuri mahali patulivu kwa watu wastaarabu.

We keep the good music alive.
##THE FINEST##

Kwani we unajua nani alianza????....mbona unakurupuka wewe.........sasa kama hujui FA ndo alianzisha vita asiyoiweza baada ya kuretweet tweet ya shabiki akimponda jide....akaonywa na hakusikia matokeo yake imemnyeshea mvua ya mawe
 
Usijali, hizi issue mbona mwisho wake ni kesho, na ongeza wiki moja ya kuwapambanisha kuhusu show zao. Baada ya hapo hautasikia kelele tena kuhusu Jd na Fa. Harakati za kweli alifanya Sugu na Anti virus na haikufanikiwa, ije iwe ya huyo bi mdada anayefanyia harakati zake twitter, Facebook, jamiiforums na kwenye ki blog chake!?
Na heri basi angalau angekuwa anafanya hizo harakati!! Alichokifanya Jide ni kulia lia tu kwamba anabaniwa na Clouds!! Na kwenye moja ya kauli yake alifikia hadi kusema kwamba huyo Joseph Kusaga ndo roho mbaya kuliko Ruge!! Watu, kutokana na chuki yao dhidi ya Clouds( and in fact, chuki zinazotokana na political sterotyping) wakaamua kudandia mgogoro wa Jide na Clouds! Na kuanzia hapo, Jide nae akaanza kujifanya mtu wa watu mpambanaji!! Mwenye akili anaweza kujiuliza, Jide yupo kwenye game more than 10 years now; mbona hizo harakati hatukuziona huko nyuma? Kuna wakati kulikuwa na claims kwamba Clouds wanambania Juma Nature, ikaja Inspector Haroun; muda wote huo Jide hatukumsikia! Yamemkuta yeye, anaanza kuia lia na watu bila kufahamu treni wanayodandia inaelekea wapi; wamejikuta wakiiparamia bila kujua inakoelekea ili mradi tu abiria wasiwepo kituoni wakaja kuchukuliwa na basi tusilolipenda!!

Nawahurumia sana watu wenye chuki na Clouds coz' Clouds itabaki kuwa Clouds; hali kadhalika FA atabaki kuwa FA and there's no match between FA na JIDE kwenye music platform hata kama Jide amekuwa ndie mwenye mafanikio zaidi yanayotokana na kazi zake!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom