Mimi shabiki mkubwa sana wa "Punch na Lines" za FA, Shabiki mkubwa sana wa Uandishi wa FA, Tokea Enzi za "Hii Leo".
Mimi shabiki mkubwa sana wa Uncle Sugu, Mashairi, Nyimbo, Politics na Hustles zake.
Leo Sugu keshamalizana mchezo na Clouds, Kwanini FA asimalize game na Sugu. FA ni Snitch
FA kutokuwepo harusini sio Coincidence lazima alikwepa kukutana na baadhi ya watu toka pande mbili hasimu alizozi snitch angeficha wapi sura yake?
Jomba anakosa mengi kwa kushindwa tu kuelewa kuwa Jana sio Leo, na kesho inajengwa na Leo.
Japo wahenga walikuwa walevi walisema "Yaliyopita si ndwele..."
FA tengeneza na wanao mfanye mambo ya maana. Ulimuona Best ako AY kajiselfie na JD.
Nyumba yetu sote kwanini tunyang'anyane fito
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii