Yeye ndio alikuwa chanzo cha ugomvi wa A.Y na Hermy B....Ay na Hermy B ni washkaji wa miaka na miaka yule bwana akaja akawavuruga.
Leo Hermy B na Ay wamepatana yule Mtanga anaona aibu....Anapenda ujuaji mwingi na akiona ugomvi unajiweka katikati hata kama haumuhusu watu wakipatana anabaki na aibu
mpk sasa ana kipi ame achieve kuwazidi hao unaosema hawana maanaKwanza siku ya harusi ya J mwana Fa hakuwepo nchini acheni uchonganishi wala hamfaidiki.
Mwana FA anaishi maisha yake na hana tatizo na mtu...sasa hao wakina Jide na Sugu ndio wana umaana gani?
Kwani card ya mwaliko huwa inatolewa siku ya harusi?....Kusafiri kwake kunahusianaje na kutoalikwa kwenye sherehe?....Kwanza siku ya harusi ya J mwana Fa hakuwepo nchini acheni uchonganishi wala hamfaidiki.
Mwana FA anaishi maisha yake na hana tatizo na mtu...sasa hao wakina Jide na Sugu ndio wana umaana gani?
Kuzoea zoea watu mwisho utazoea majini..!!Kila mtu afe kivyake, ndio maisha ya mjini