Mwana FA ulioanza nao game wamekutenga, kuna sehemu umekosea au tatizo nini?

Mwana FA ulioanza nao game wamekutenga, kuna sehemu umekosea au tatizo nini?

FA ni Snitch pasee.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yeye ndio alikuwa chanzo cha ugomvi wa A.Y na Hermy B....Ay na Hermy B ni washkaji wa miaka na miaka yule bwana akaja akawavuruga.

Leo Hermy B na Ay wamepatana yule Mtanga anaona aibu....Anapenda ujuaji mwingi na akiona ugomvi unajiweka katikati hata kama haumuhusu watu wakipatana anabaki na aibu
 
huyu fa ni mwanaume kama binti kweli...

Yeye ndio alikuwa chanzo cha ugomvi wa A.Y na Hermy B....Ay na Hermy B ni washkaji wa miaka na miaka yule bwana akaja akawavuruga.

Leo Hermy B na Ay wamepatana yule Mtanga anaona aibu....Anapenda ujuaji mwingi na akiona ugomvi unajiweka katikati hata kama haumuhusu watu wakipatana anabaki na aibu
 
FA mswahili sana huyu, ni snitch fulani hivi.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwanza siku ya harusi ya J mwana Fa hakuwepo nchini acheni uchonganishi wala hamfaidiki.

Mwana FA anaishi maisha yake na hana tatizo na mtu...sasa hao wakina Jide na Sugu ndio wana umaana gani?
mpk sasa ana kipi ame achieve kuwazidi hao unaosema hawana maana
 
Hii yote ni baada ya kupigiwa simu na rais tu au,
 
Japo namkubali sana Mwanafa lkn mtoa post hayupo mbali na ukweli

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mwanafa angekua hajasoma sijui angekuaje! Mshkaji anapenda sana kujiwekaweka kwa watu!! BE A REAL MAN FA!!
 
Kwanza siku ya harusi ya J mwana Fa hakuwepo nchini acheni uchonganishi wala hamfaidiki.

Mwana FA anaishi maisha yake na hana tatizo na mtu...sasa hao wakina Jide na Sugu ndio wana umaana gani?
Kwani card ya mwaliko huwa inatolewa siku ya harusi?....Kusafiri kwake kunahusianaje na kutoalikwa kwenye sherehe?....

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
 
Nilidhani ni pekee yangu ambaye sijawahi kumuelewa huyu jamaa!

Alikuwa anajiona kama msanii msomi kuliko wote bongo.

Naona hata Makamba naye kaanza kumpotezea.
 
KUNA MTU ALIANZA MUZIKI NA FA KAMA AY?

na mbona wapo close?
ACHENI KUWAPANGIA WATU MAISHA!
so asipokuwepo kwenye harusi ya J ndo ametengwa?
LABDA MKEWE ALIKUWA LABOUR?
au ndo unataka ya waziri wenu kuacha mke ICU ili aende kuangalia onyesho la saida ,na kisha kusema namna gani hiyo inaonyesha anamkubali saida!
mambo mengine mhifadhi stara za akili na wajihi wenu!
 
Friday 9t ya east Africa prof alimtaja FA kama mtumbuizaji wa sherehe nyingine ambayo ingefanyika kwao. ...
 
Mafanikio yanaitaji watu, ila watu haohao ndo tatizo katika mafanikio!
Utafanya yote, ila kamwe usifanye jambo kwa vile Fulani anafanya au fulani hajafanya!!!

We kam unafikiri kufanikiwa kwa Mwana FA mafanikio yake yapo kwa mgongo wa wakongwe au wasafi basi nutasubiri!!!
Kweny harusi tu! Nilijua kakosa show ya pesa!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
ndo maana jamaa anakua considered one of the controversial lyricist of his time....yaani wala hatumii maneno mengi kuwajibu
 
Attachments

  • bb.png
    bb.png
    13.6 KB · Views: 51
Back
Top Bottom