Mwana FA umetusaidia sana maana walizidi kutuchuna

Mwana FA umetusaidia sana maana walizidi kutuchuna

Umeona eheeh..!

" unapenda pesa zangu, ata mie nazipenda!

"Yabaki mapenzi siyo kuleteana ujambazi.

"Kupenda hela kama mfuko mkome!

"Mwanaume wa hivyo wanini sasa? Hayo ndiyo maneno yenu..!

"Kwani dada unauza nini?? [emoji12] [emoji12] [emoji102]
Nauza maembe
 
Ahahaha hapana huu wimbo unanichekesha sana...something common kati yangu na Mwana FA ni kuwa SOTE TUMEOA ndio maana ninaweza kuusikiliza nikacheka (au ndio maana anaweza kuandika wimbo huo)..singles wanaumia tu!

I love you hun...ntakuacha siku kishimo chako kikiziba.
[emoji39] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ahahaha hapana huu wimbo unanichekesha sana...something common kati yangu na Mwana FA ni kuwa SOTE TUMEOA ndio maana ninaweza kuusikiliza nikacheka (au ndio maana anaweza kuandika wimbo huo)..singles wanaumia tu!

I love you hun...ntakuacha siku kishimo chako kikiziba.
dependant single ladies to be precise.
 
Nionge nanunua nini.. kwanini yani?.. kuna kipi nisichokijua, INA TV NDANI??[emoji1][emoji1]
 
Utachonga viazi......
Kwani unauza nini Dada?
Ina TV ndani?

Unapenda hela zangu.. Nami nazipenda pia
 
Kweli wewe wameisha kugeuza zoba..! Kwani hawana mikono eti nani kawapendezesha harakati kila kukicha wanataka haki sawa hiyo siyo haki kujihudumia??

Wafanye kazi waache utahira kuuza papunchi, hawana wazazi kama wakubwa wajifunze pia kujihudumia tutoe kwa upendo siyo asipopewa ananuna ushamba huo.
Kweli mkuu wangu kanuna siku ya nne leo no call/sms
 
Back
Top Bottom