Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Na ile baki na hamu zako hukufurahia?MwanaFA hata mimi kanifurahisha aliposema "Kila mtu abaki na zake". Maana wanaume wa these days kwa kuomba vi20 20 hawajambo.
Nauza maembeUmeona eheeh..!
" unapenda pesa zangu, ata mie nazipenda!
"Yabaki mapenzi siyo kuleteana ujambazi.
"Kupenda hela kama mfuko mkome!
"Mwanaume wa hivyo wanini sasa? Hayo ndiyo maneno yenu..!
"Kwani dada unauza nini?? [emoji12] [emoji12] [emoji102]
Maembe nyonyoNauza maembe
Boo umeniacha au?Ndo mnavyosema..
hahaha nimecheka sana kuusikiliza huu wimbo!
Nitaoa mzungu kwa kweli...
Ha ha ha ha haMaembe nyonyo
Nukajua kitumbua kumbe embe wateja wako lazima ni nyani na ngedere!Nauza maembe
Hadi simba wananunuaNukajua kitumbua kumbe embe wateja wako lazima ni nyani na ngedere!
Boo umeniacha au?
Nikuhonge alafu unimwage?.. nitakujia usingiziniBaki na hamu zako..
Njoo tu nitakuomba tena helaNikuhonge alafu unimwage?.. nitakujia usingizini
Simba carnival wewe..! Nitupie price kule makutano nione km nitaaford..!Hadi simba wananunua
Na ile baki na hamu zako hukufurahia?
[emoji39] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ahahaha hapana huu wimbo unanichekesha sana...something common kati yangu na Mwana FA ni kuwa SOTE TUMEOA ndio maana ninaweza kuusikiliza nikacheka (au ndio maana anaweza kuandika wimbo huo)..singles wanaumia tu!
I love you hun...ntakuacha siku kishimo chako kikiziba.
dependant single ladies to be precise.Ahahaha hapana huu wimbo unanichekesha sana...something common kati yangu na Mwana FA ni kuwa SOTE TUMEOA ndio maana ninaweza kuusikiliza nikacheka (au ndio maana anaweza kuandika wimbo huo)..singles wanaumia tu!
I love you hun...ntakuacha siku kishimo chako kikiziba.
Kweli mkuu wangu kanuna siku ya nne leo no call/smsKweli wewe wameisha kugeuza zoba..! Kwani hawana mikono eti nani kawapendezesha harakati kila kukicha wanataka haki sawa hiyo siyo haki kujihudumia??
Wafanye kazi waache utahira kuuza papunchi, hawana wazazi kama wakubwa wajifunze pia kujihudumia tutoe kwa upendo siyo asipopewa ananuna ushamba huo.