Mwana FA umetusaidia sana maana walizidi kutuchuna

Huo ni ujinga sasa mnavo waona wamependeza na kuvutia mnafikiri nani anawahudumia mkifata ushauri wa huyo jamaa mademu wazuri mtaishia kuwaita shemeji!
Hizo like ulizopata naona wachunaji wamekupa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwan inaTv sisi wanaume ni tamaa tu papuchi ni ile ile tena hao wazuri wananuka sh0mb***
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…