Mwana HIP HOP Langa Kileo alianza lini Hip hop. Na alifariki lini?

Mwana HIP HOP Langa Kileo alianza lini Hip hop. Na alifariki lini?

Dogo alikuwa talented sana,kuchwani alikuwa vzr....kasoma shule nzuri
Hiyo Vienna, kampala si masihara ujue
Makundi tu yalimuingiza kingi+ kuiga umbeleee
Alafu kuna wakati alipiga kazi barick gold,sema hakuweza kutulia kutokana na mambo fulani
Nahisi hata ndugu walikuja kujua too late, ila wangemuwahi mwanzoni wangemuokoa
Kuna wakati alihisi kutengwa,kukimbiwa na washkaji kutokana na hali yake,alikuwa anaenda resi sana

Wakati nlikuwa nakunywa sana PR CAMP BAR nyuma ya mwanamboka
Mimi binafsi nlishawahi kumface mzee kileo yule mzee owner,amchukue langa ampe mishe yyt pale kumuweka bize,maana alishakuwa junki badaye kweli mzee akamvuta pale akawa anazuga ila mbeleni km alizinguana na babu yk huyo
Inasikitisha sana kuona jinsi mwana alivyopotea gafla tu
RIP langa

Ova
Mrangi mbaba wa mjini
 
Coca-Cola Pop Star mwaka 2004, ambalo lilimtoa msanii mkali wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Ali Kiba
Hiki chanzo cha facebook kina walakini.
Ali Kiba was already a star before hiyo coca cola pop star 2004.
Na kuna mtu humu jf naona anasema Blue ndio kamtoa kimuziki ali kiba.
Historia inapotoshwa
 
Kuna ngoma mbili..ukiacha matawi ya juu..

Kuna gangstar.. mule kauwa saana. Ilikuwa katika playlist yangu, ilikaa kichwanj yoote enzi hizo.

Kisha kuna ninaposimama ft chidi benz, aisee hizi ngoma acha tu.

Kisha kuna alishirikishwa na babuu, kimbia.. alipita vizuri.
 
Mimi sio mwanamuziki.....mi mwanaharakati...sitaki mashabiki mi nataka wafuasi.
Kama Kuna mwisho wadunia, hizi ndizo ishara.....mwadamu mpaka dini kageuza biashara.
Kuna matapeli,majini watu....vicheche na machatu....usipite pekupeku...bila kuva viatu...KIMBIA!.
Wanasema nimechange sio yule wazamani...sionekani masiksni Kwa darubini au miwani....lawama kibao utadhani mahakamani....nisipohangaika atanilisha nani?.
Urafiki sio kusmoke na kumoka....urafiki nikupeana dili....kivipi hamsini izalishe iwe miambili.
Sio yule atakuficha kama demu wako hajatulia....siku zanyuma naye alishampitia....nakugeuka mwana riadha....maadui wakivamia kama Bu nada hustler.(WADAU WANASEMA BASED ON TRUE STORY)

LYLICAL AND NATURAL GIFTED AFRICA
RAISI WA KITAA DONT GA'RA TWISTED
+APUMZIKE KWA AMANI(LANGA KILEO)
 
Back
Top Bottom