Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mi najishangaa sana kwann siendelei kwa sababu kipato changu km tsh 60,000 per day na matumizi yangu pamoja na mkopo wa bank ni 35000 lkn sipigi hatua karibu miaka miwili mambo yamesimama sijui kwann wakuu.
 
Asubuhi maandazi 2 na maji ya bomba jumla 400.
Mchana mihogo ya kukaanga minne kila kipande mia jumla 400.
Usiku naenda kutembelea majirani na marafiki kwahiyo situmii hata mia wakinikaribisha msosi najifanya kukataa kidogo halafu nakubali.
Nipo makini kutembelea majirani na marafiki maana nahakikisha kwa mtu mmoja naenda mara mbili kwa mwezi nina ratiba kabisa.
Kwahiyo kwa siku natumia 800 tu.
 
Yaan $12/day?


Ndiyo maana nikasema ni ngumu kupima..

Mfano asubuhi unapata cereal na maziwa (sasa hapo unapimaje)

Mchana unakula 6" sub tuseme (at least hapa unaweza kupima ingawa sijaweka kinywaji nime-assume the most expensive sub ya dola tano na maji ya bomba)

Jioni nika assume unapata fruit salad labda na noodles nikaweka hiyo dola tano.

Hapo bado coffee wakati unafanya kazi mchana na jioni ili kufukuza usingizi.

Aisee ukiwa critical unaweza kuta inaongezeka.

Hata hivyo principle yangu mimi sio kujinyima chakula aisee...ninafanya kazi sana kujibana chakula. Ninaweza kupunguza mizunguko ya gari au kusema mingine nitumie public transport, ninaweza kujibana kununua some type of clothes, and the likes..ila si msosi mkuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…