Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mmh!!! Mbona umeongea mafumbo mkuu? Hebu nifafanulie.Dah!! Watu na bahati zao. Kuku wa kideri kafia kwa mkaanga chipsi.
Mentor mambo hayo.....Asiye na Mwana aeleke jiwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh!!! Mbona umeongea mafumbo mkuu? Hebu nifafanulie.Dah!! Watu na bahati zao. Kuku wa kideri kafia kwa mkaanga chipsi.
Mentor mambo hayo.....Asiye na Mwana aeleke jiwe!
Ahlan Wasahlan. Mjuvi ajuvya...Mmh!!! Mbona umeongea mafumbo mkuu? Hebu nifafanulie.
Una mke? Natafuta mumeMi natumia laki mbili tu
Asubuhi chapati2 na chai@700,,mchana wali au ugali@sh 1500,,,vocha@sh 500(sio kila Sikh)usiku wali au ugali@sh 1500,,,Maji huwa sinunui yapo.Jumlisha hapo utapata jibu.Day iz over.Wabana matumizi... Wa kujiachia leo tukutane hapa.
Kutokujua unatumia kiasi gani kwa siku hata kwa chakula unachokula mwenyewe....