Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mimi natumia 3000 hadi 3500, tena lunch tu, asbh najipatia home na jioni home
 
Wabana matumizi... Wa kujiachia leo tukutane hapa.

Kutokujua unatumia kiasi gani kwa siku hata kwa chakula unachokula mwenyewe....
Asubuhi chapati2 na chai@700,,mchana wali au ugali@sh 1500,,,vocha@sh 500(sio kila Sikh)usiku wali au ugali@sh 1500,,,Maji huwa sinunui yapo.Jumlisha hapo utapata jibu.Day iz over.
 
Back
Top Bottom