Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mlo wa mchana unaweza kujazia soft food au maji tu kama asubuhi umepiga supu na vitafunwa vya kutosha, mara nyingi mimibnafanya hivi, mchana njaa ikinibana nakula isiponibana napotezea kula....jioni kula chakula ni a must!!!

Kuna sehemu zingine hela zinateketea kwelikweli
Nimeanza kujitahidi maana naona umri unaenda starehe zinazidi na watu wamebana njia wanasingizia HAPA KAZI TU. Naanza kupiga pasi ndefu au asubuhi kunywa chai kwangu alafu vingine tupambane hukohuko
 
Kuna application nyingi sana za ''Expense/Finance Manager'' kwa Android na hata Ios.....Unaweza kutrace hata kwa asilimia ama mgawanyo wa matumizi yako....Binafsi hata ukitaka kujua tarehe 2 Januari mwaka huu nilitumia kiasi gani katika nini nafahamu..Mali bila daftari hupotea bila habari.

Halafu bado hujajibu swali, Kwa siku unakula sh ngapi!?? hahahah...
 
kula as meals kidogo sana,maana wengine kazi zetu ofisi inasubsidize huge portion ukiongeza na u''single'' basi unakuta buku tano mpaka kumi kwa siku ni mtihani...
 
bi mkubwa nimesoma maelezo ya Mentor hapo juu, fanya tu uwe unaenda kwake. Kwanza huwa anapika mwenyewe (how sweet), pili kila ukiwa unaondoka kuna at least 50k yako. Mungu akupe nini tena, mengine yatayokupata huko ni ajali tu kazini teh

Hahaha..kwani mgeni naye anapewa nauli jamani!??

Dota una akili kweli, ila hayo ya ajali hapana bwana, mimi nakwenda kula tu, huoni bahati hiyo, maana sipiki wala sioshi vyombo, nikimaliza tu kula nasepa.

Hahahahahahahahah hii anaiweza RRONDO tu...ana roho ya malaika na moyo wa mshumaa!

Ndio maana nimeomba kabisa.
Usijisahaulishe nguruka wangu.

Hivi nguruka ni samaki?

Mimi mkitaja nguruka nahisi ni sehemu flani hivi iko njiani ukienda Kigoma.

2012 (nimesahau mwezi) niibahatika kufika hapo halafu basi likasema haliendi tena Kigoma mjini...duh tulipolala ni siri yetu...ila sitosahau hiyo siku ninafika tu Nguruka na ndio ule wimbo wa Leka Dutigite unatoka..it was such a nice coincidence! [HASHTAG]#kigoma[/HASHTAG]
 
kula as meals kidogo sana,maana wengine kazi zetu ofisi inasubsidize huge portion ukiongeza na u''single'' basi unakuta buku tano mpaka kumi kwa siku ni mtihani...

Duh kweli ukipata ofisi ina-offer one of the meals raha sana. Kuna ofisi niliwahi kufanya kazi tulikuwa tunapewa breakfast free na maji (though ni vile vi nusu lita vya KLM). Lunch tunanunua matunda (fruits salad) ya 1500/- so hapo ni wewe kujipanga dinner.

Every bachelor's wish!!!
 
Asubuhi chai na mayai miwili=1000
Chakula mchana 3000
Chakula jioni=4000
Bia na mengineyo =10000
Total 9000
Hiyo total nimeioata kwa kutumia formula iliyo tumika kujumlisha michango ya kagera.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Duh kweli ukipata ofisi ina-offer one of the meals raha sana. Kuna ofisi niliwahi kufanya kazi tulikuwa tunapewa breakfast free na maji (though ni vile vi nusu lita vya KLM). Lunch tunanunua matunda (fruits salad) ya 1500/- so hapo ni wewe kujipanga dinner.

Every bachelor's wish!!!
mkuu kuwaza leo utakula nini kuanzia breakfast,lunch mpaka supper ni kazi...ndio maana chuoni ''pasi ndefu'' zilituhusu sana...Kheri ya waliooa maana ''Chief Secretary Of Stomach Affairs'' anakupunguzia kuwaza utakula nini..labda upate type za kina lara 1
 
Hahaha..kwani mgeni naye anapewa nauli jamani!??

Hahahahahahahahah hii anaiweza RRONDO tu...ana roho ya malaika na moyo wa mshumaa!

Hivi nguruka ni samaki?

Mimi mkitaja nguruka nahisi ni sehemu flani hivi iko njiani ukienda Kigoma.

2012 (nimesahau mwezi) niibahatika kufika hapo halafu basi likasema haliendi tena Kigoma mjini...duh tulipolala ni siri yetu...ila sitosahau hiyo siku ninafika tu Nguruka na ndio ule wimbo wa Leka Dutigite unatoka..it was such a nice coincidence! [HASHTAG]#kigoma[/HASHTAG]
Eeeh kumbe nauli inachagua mtu wa kupewa?

Nguruka ni visamaki fulani hivi, vinahifadhiwa kwa chumvi nyingiii. Unamuosha kupunguza chumvi, then unamchoma, uwe na kalimao na kapilipili pembeni weeeee. Ndo mboga yetu ya fasta fasta, mjini kasoro bahari. I heard kuna Ziwa Nguruka Kigoma
 
Ahah hapo kwa uliyemtaja mi sipo!

Ila raha sana kuwa na mtu ambaye huwazi utakula nini. Raha zaidi ni muwe wote ni adventurous wa mapishi weekend mtazipenda sana...trying all the new cuisines.

Shida umeme wa bongo kero sana..I really love baking ila ndo vile tena...soon nitanunua lile jiko multipurpose gesi na umeme...sijajua matumizi yake ni kiasi gani!!!

Wait...kwanza itaweza kutumia oven kwa gesi kweli!?? [HASHTAG]#sijui[/HASHTAG]

Aisee nami nitakuwa mgeni wako hapo kwenye nguruka!

Kuhusu mgeni wangu shemeji atoto, yeye kasema haondoki mbona unampa mawazo ya kuondoka sasa...akiondoka hata bombardier atakatiwa (emphasis: akiondoka...)
 
Hahaha..kwani mgeni naye anapewa nauli jamani!??

Hahahahahahahahah hii anaiweza RRONDO tu...ana roho ya malaika na moyo wa mshumaa!

Hivi nguruka ni samaki?

Mimi mkitaja nguruka nahisi ni sehemu flani hivi iko njiani ukienda Kigoma.

2012 (nimesahau mwezi) niibahatika kufika hapo halafu basi likasema haliendi tena Kigoma mjini...duh tulipolala ni siri yetu...ila sitosahau hiyo siku ninafika tu Nguruka na ndio ule wimbo wa Leka Dutigite unatoka..it was such a nice coincidence! [HASHTAG]#kigoma[/HASHTAG]
Unampa tu nauli mgeni then utabarikiwa na Bwana.
Nguruka ni visamaki, sijui wanatokea wapi wale, hutiwa chumvi nyingiiii.
 
Ahah hapo kwa uliyemtaja mi sipo!

Ila raha sana kuwa na mtu ambaye huwazi utakula nini. Raha zaidi ni muwe wote ni adventurous wa mapishi weekend mtazipenda sana...trying all the new cuisines.

Shida umeme wa bongo kero sana..I really love baking ila ndo vile tena...soon nitanunua lile jiko multipurpose gesi na umeme...sijajua matumizi yake ni kiasi gani!!!

Wait...kwanza itaweza kutumia oven kwa gesi kweli!?? [HASHTAG]#sijui[/HASHTAG]

Aisee nami nitakuwa mgeni wako hapo kwenye nguruka!

Kuhusu mgeni wangu shemeji atoto, yeye kasema haondoki mbona unampa mawazo ya kuondoka sasa...akiondoka hata bombardier atakatiwa (emphasis: akiondoka...)
Ana kismati bi mkubwa, hadi Bombardier mweee
 
Hakuna kazi ngumu kama kuwaza familia ile nini kuanzia breakfast hadi dinner, afadhali kidogo i love cooking so it helps.

Kumbe unapenda baking as i do, basi shemeji tutakuwa tunasaidiana kabla sijaondoka, nasisitiza 'kabla sijaondoka'.

Dah!! Watu na bahati zao. Kuku wa kideri kafia kwa mkaanga chipsi.

Mentor mambo hayo.....Asiye na Mwana aeleke jiwe!
 
Back
Top Bottom