Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Bahati mbaya alivyotaja situmii, so mie bado ni mgeni wako shemeji, na ratiba ishakamilika.
bi mkubwa nimesoma maelezo ya Mentor hapo juu, fanya tu uwe unaenda kwake. Kwanza huwa anapika mwenyewe (how sweet), pili kila ukiwa unaondoka kuna at least 50k yako. Mungu akupe nini tena, mengine yatayokupata huko ni ajali tu kazini teh
 
Dota una akili kweli, ila hayo ya ajali hapana bwana, mimi nakwenda kula tu, huoni bahati hiyo, maana sipiki wala sioshi vyombo, nikimaliza tu kula nasepa.
 
Asubuhi chai na mayai miwili=1000
Chakula mchana 3000
Chakula jioni=4000
Bia na mengineyo =10000
Total 9000
Hiyo total nimeioata kwa kutumia formula iliyo tumika kujumlisha michango ya kagera.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Naona umeamua kukata VAT kabisa.
 
Dota una akili kweli, ila hayo ya ajali hapana bwana, mimi nakwenda kula tu, huoni bahati hiyo, maana sipiki wala sioshi vyombo, nikimaliza tu kula nasepa.
Haha yani unafanywa malkia, rahaje. Watu kama hao, unajikuta wewe mwenyewe ndo unawaomba ukawatembelee.
 
Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500

Jumla 5100.
Kweli nimekubali kiloba kwenye bajey[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hivi ukioa gharama zinapungua ama zinaongezeka!!!
Gharama za msosi zitapungua,kichuo chuo tu msosi wa kupika mwenyewe ni nafuu kuliko wa cafteria ambao hata kushiba haushibi na ukibakiza huwez kusema ukile badae ila chakupika u can eat twice au muda wowote ukiwa na njaa ukafanya kuongezea vitu vidg like kinywaji matunda etc......apo mpo couple bila ndugu ndugu na unexpected wageni
 
Bila shaka wewe ni wakili wa SERIKALI.
You're being following.....sio kwa ufisadi huo kumbe unavimbisha tu tumbo lako badala ya kucreate ajira kwa watz wenzako ili tupunguze machungu soon utaanza kuishi kama......
 
You're being following.....sio kwa ufisadi huo kumbe unavimbisha tu tumbo lako badala ya kucreate ajira kwa watz wenzako ili tupunguze machungu soon utaanza kuishi kama......
Dua la Kuku hilo.......Hii inaitwa Survival for the fittest.
 
Chai chapati na supu kidebe sh.1000
Chakula Mchana sh.1000
Chakula Usiku sh.1000
Vocha ya sh.500 kwa maongezi na vocha ya sh.500 bando ya internet Jumla ni Sh.4000
 
Back
Top Bottom