Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitihani mmemaliza?mtoto wa mwenzako ni mkubwa mwenzio
Ewaaa karibu tupunguze gharama shemeji...
Kwni navyo vinaliwa?Msisahau hela za vifurushi vya Internet!
Ndio napanga ratiba hivyo!
Hahaaaaa!! Nilivyokuwa napenda kucheza makande na maharage niliunguza sana.Haha umenikumbusha zamani wakati tupo wadogo nyumbani tulikuwa na ratiba ya msosi aisee..
Nakumbuka tu jumapili ilikuwa Pilau...au mom's special meal!! atakachojisikia mama kupika...good old days za ratiba.
Ila siku za makande usiombe uwe nyumbani...maana hakuna kutoka, saa tisa uwashe mkaa na kubandika makande yako kila saa kuongeza maji hata kucheza huwezi kwenda!!!
Hahaaaaa!! Nilivyokuwa napenda kucheza makande na maharage niliunguza sana.
Akina mama sijui kwanini huwa wanapika vyakula wanavyopenda wao,ukiona mtoto hali/hapendi chakula fulani jua home kilikuwa hakipikwi.
Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500
Jumla 5100.
Mi niko interested kujua, alivyombwerambwera kula samaki na keki, wewe kama wewe ulichukua hatua gani kuhakikisha chakula hakitupwi??Kibongobongo unaanzaje kukataa chakula..labda kama ulizaliwa Masaki...au kwa wale wa Moshi Shanty town!
Nakumbuka siku moja nilienda kwa rafiki yangu huko Shanty town. Sasa siku hiyo mama yake lunch kapika wali samaki halafu ka bake queen cakes.
Kwanza dogo anakula kwa pozi maana yule samaki alimla utadhani anaumwa.
Haya kimbembe kikaja kwenye cake, kumbe dogo hapendi (am sure sio alergy!) mayai. Kaonja cake moja akaitema kwenye carpet halafu akaanza kumgombeza mama yake, "Mum don't you know I hate eggs!!! I am alergic to eggs..."
Nilirudi home nikajaribu kufanya hivyo maana mi sipendi ndizi...aisee kipigo nilichokipata niligundua kuna magonjwa mengine sisi wa hali ya kawaida hatustahili kuwa nayo.
Mi niko interested kujua, alivyombwerambwera kula samaki na keki, wewe kama wewe ulichukua hatua gani kuhakikisha chakula hakitupwi??
Hiyo kwangu ni bajeti ya kaunta. Hapo ni kama sijawanunulia kina Fatuma Reds na Savannah.Duh ni ngumu kupima ila roughly nimejikuta kama 2+5+5*2200 = 26,400 Tsh.
Aisee....Mh babu nitafanyaje na ni kwa watu! Niliangalia tu nikajisemea mwenyewe moyoni, "Hizi ni luxury za wenzetu..."
Hiyo kwangu ni bajeti ya kaunta. Hapo ni kama sijawanunulia kina Fatuma Reds na Savannah.
Yani hapo 1/2 kg ya shwaini na chupa moja ya grants!!
Baaas......
Huyo nimekuachia. Mi niko bize na Honey FaithHatulingani babu... [HASHTAG]#shikamoo[/HASHTAG]
nahisi kama unataka kunipokonya mgeni wangu na shemeji yangu atoto
Si kila asemaye Bwana Bwana ataurithi ufalme wa mbinguni...
Ukishayajua hayo, unaweza kuuambia mlima ung'oke ukaote baharini, na ukakutii.