Mwana JamiiForums Faizafoxy yupo wapi?

Mwana JamiiForums Faizafoxy yupo wapi?

TAtizo umeamua kumdharau
Yeyote anaweza kua yeyote kwa wakati wowote.
Achana naye huyo. Kwa kumsaidia tu ni kuwa hata Rahabu aliyekuwa kahaba alikuja akaleta ufalme katika uzao wake ulioendelea huko. Maana yeye alimzaa Boaz na Boaz akamzaa Obed na Obed akamzaa Yesse na Yesse akaja kumzaa mfalme Daudi.ambaye huyo mfalme Daudi alikuwa mdogo kati ya ndugu zake na alikuwa akichunga kondoo tofauti na kaka zake kama vile Eliabu ambao walikuwa jeshini .lakini Mungu alimuinua Daudi aliyekuwa anachunga kondoo na kumpa ufalme.

Angalia hata kuinuliwa kwa Samweli mtoto wa Hana aliyekuwa Tasa na ambaye alikuwa anadharauliwa sana na penina ambaye yeye alikuwa anazaa watoto.kwa hiyo usimdharau mtu hata siku moja.imeandikwa ya kuwa.

Mungu humuinua mnyonge kutoka mavumbini ,humpandisha mhitaji kutoka jaani ili kumketisha pamoja na wakuu .

usimdharau mtu kwa namna unavyomuona leo.
 
Kikubwa ni kuwa mwanachama wa chama cha siasa.ambapo mimi tayari ni mwanachama wa CCM. Kikatiba unatakiwa uwe na umri kuanzia miaka 21,uwe raia wa Tanzania,uwe hujawahi kutiwa hatiani kwa makosa ya ukwepaji kodi ,uwe umependekezwa na kuteuliwa na chama chako kupeperusha bendera yake.

Mimi nina vigezo vyote .kama ni maji unaweza kusema yamejaa mpaka yanamwagika. Kikubwa ni kuwa mimi sijawahi kugombea ila watu huwa wananiona ni kama Mbunge anateyetembea. Yaani kwamba ninastahili kuwepo bungeni.

Japo sina nia ya kugombea ubunge zaidi ya kuipigania CCM na kumsemea Rais Samia na kumpigania kwa wananchi. Mimi naipenda sana siasa na siasa inanipenda mpaka inabubujikwa na machozi ya furaha kwa namna ninavyoitendea haki na kuikosha. Nina uwezo wa kuzungumza nakugusa hisia za watu mpaka watu wote wakajikuta wanatokwa machozi utafikiri wamepakwa pilipili machoni.
Duu huyu mlimbwende mleteeni ile sabuni inayoleta kaubaridi matakroni tumpe joto, maana nao anajinadi sana hapa.
 
Kikubwa ni kuwa mwanachama wa chama cha siasa.ambapo mimi tayari ni mwanachama wa CCM. Kikatiba unatakiwa uwe na umri kuanzia miaka 21,uwe raia wa Tanzania,uwe hujawahi kutiwa hatiani kwa makosa ya ukwepaji kodi ,uwe umependekezwa na kuteuliwa na chama chako kupeperusha bendera yake.

Mimi nina vigezo vyote .kama ni maji unaweza kusema yamejaa mpaka yanamwagika. Kikubwa ni kuwa mimi sijawahi kugombea ila watu huwa wananiona ni kama Mbunge anateyetembea. Yaani kwamba ninastahili kuwepo bungeni.

Japo sina nia ya kugombea ubunge zaidi ya kuipigania CCM na kumsemea Rais Samia na kumpigania kwa wananchi. Mimi naipenda sana siasa na siasa inanipenda mpaka inabubujikwa na machozi ya furaha kwa namna ninavyoitendea haki na kuikosha. Nina uwezo wa kuzungumza nakugusa hisia za watu mpaka watu wote wakajikuta wanatokwa machozi utafikiri wamepakwa pilipili machoni.
Wewe hata uwe na Nia kugombea CCM huwezi, Una pesa za kuwahonga wajumbe?

Maccm na rushwa ni kama samaki na Majid.
 
Nampango nipambane niwe raisi kupitia ccm.ukitaka uteuzi kigezo ni nile jicho.huyu ntaanza nae .niombeeni wakuu.
Afu hapa nimtafsirie FaizaFoxy hii maana yake ni kuwa kwa namna unavyodadavua mada mbalimbali hawa uvccm watafuta ukuu wa wilaya wamehisi lazima unaconnenga ikulu.hata ukitaka wakukate kucha za miguu na meno hawashindwi..
Kijana hebu ongeza bidii kwenye kilimo cha mbogamboga upate mtaji uache jipendekeza kwa mbwa yeyote
 
maana hata mwalimu wangu miaka fulani mbele ya darasa zima amewahi kunishauri nigombee ubunge kwetu na wanafunzi wote wakaunga mkono kwa hisia kali sana na kutamani wanichangie pesa ya Fomu kwa wakati huo.

Ningekuwa Rais nakuhakikishia kwa dhati ya moyo wangu kuwa ningekuteua ephen.
Hawakutoa machozi ya furaha kweli hao wanafunzi wenzio?
 
Back
Top Bottom