Honestly Hakuna chochote cha maana ulichokua ukimpa, acha unafkiMimi pia nina tatizo kama lake ( kutosikia vizuri) .nilitumia hali hiyo kumpa moyo kila namna kwamba it's OKAY.nilikuwa nampa maneno ya kila namna kumuongezea nguvu ya mapambano ya maisha.but alikuwa na moyo mwepesi mnoo.amenisikitisha sana kwa maamuzi aliyochukua.nimejikuta namwaga chozi kutwa nzima leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi sie huyu mkuu. Ni watu wawili tofautiMungu wangu!!!!
Huyu member alikuwa kweli ana matatizo ya kusikia.
Na kuna rafiki humu alikuwa anamuunganishia kazi ya ualimu akamsafirisha toka mkoani mpaka alipokuwa rafiki akafanya interview.
Lakini yule rafiki akaniambia jamaa ni shida sana kuongea nae na kufundisha itakuwa ngumu lakini akampa nauli na kumuahidi shule ikifunguliwa basi itabidi aje wampe probation kama ya mwezu kuona kama ataweza lakini kama asipoweza atamsaidia kivingine hapa sikumbuki alisema hearing aids au sijui nini sikumbuki kwa kweli
Kiukweli sijui ni nini nikajikuta namshawishi yule rafiki ampe nafasi kwani hata mimi nilifundishwa na mwalimu kipofu Advance level na ni mwalinu pekee aliyekuwa anasikilizwa na wanafunzi akaeleweka, ni mwalimu bora kabisa.
Rafiki yule alikuwa busy busy nami busy sana basi hatukuongelea ishu ya huyu mpaka sasa.
Mda huu ninaona hapa amejiua.
Aiseeee nimesikitika sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa mnafki tena? It's ok! Wapo waliokuwa wanampa.imesaidia nini? Wapi nimesema nilikuwa nampa kitu? Acha shobo.Honestly Hakuna chochote cha maana ulichokua ukimpa, acha unafki
You are such a beautiful soul best.Nakumbuka xmas uliniambia unatamani kutoka...nikakutumia hela ..nikakuambia nataman siku moja tule chakula kizuri sehemu nzuri ukawa huamini! Rip mdogo wangu na mwanangu!
Hamjui anaemuongelea.Hii komenti imenifanya nicheke wakati nina huzuni hapa
Mpotezee bestBehave pls...!mimi kwangu sina mtoto mlemavu wa akili...na huyu mama ni mtu mzima usitake tuharibu uzi😏😏
The guy was so charming
Japo hatukuwahi kuonana lakini alikua mtu wa karibu sana kwangu
Siamini 😭😭😭😭😭😭😢😢😢😢😢😢
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu kasema mimi ndie mnafiki .sijui kwanini yan.Mtu wa karibu my ass!!
Mtu wa karibu taarifa za msiba unapata leo wakati amefariki mwezi sasa!!!acha unafiki
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Mtu wa karibu my ass!!
Mtu wa karibu taarifa za msiba unapata leo wakati amefariki mwezi sasa!!!acha unafiki
This is very true.Ila sema tu kwa sababu ya hiyo depression aliyokuwa nayo lakini kujinyongea nyumbani kwa mtu aliyeamua kumsaidia kama msamaria mwema haijakaa vizuri. Amemwachia mtihani na usumbufu mkubwa ambao unaweza kumfanya ajutie kuishi nae na majuto hayo yanaweza hata kumfanya akafikia uamuzi wa kutokuja kumsaidia tena mhitaji mwingine kwa kiwango kama hicho alichomsaidia huyo aliyejiua. Yaani aliamua kumwachia msala huyo msamaria mwema.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].Mtu wa karibu my ass!!
Mtu wa karibu taarifa za msiba unapata leo wakati amefariki mwezi sasa!!!acha unafiki
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu kasema mimi ndie mnafiki .sijui kwanini yan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilishapatikana hiyo pesa na cheti akapatiwaKwa maelezo ya marehemu mwenyewe kabla hajafa, aliwahi sema anadaiwa ada Mil 1.6 ili apewe cheti chake cha ualimu.
Pia marehemu alikuwa ana ulemavu wa kutosikia vizuri.
Hivyo viwili vilimfanya aone kama anadharaulika kwenye jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipewa hakununua mwenyeweMtu anamiliki infinix note 8 alafu anajiua maisha magumu? Mnautani nyie
Hajibu pm tangu siku ametoa Uzi namtafutaAliye karibu na Mayala B amsaidie pia. Nadhani Psychological theory ya Victor Frankl (on the search for a meaning of life) itamsaidia.