TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Dah![emoji25][emoji25]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu amlaze mahali pema marehemu. Wana jf hili tilichukue kama mfano hai wa jinsi ya kuyapokea mawazo/mchango/shida ya mtu fulani anapowasilisha kwa njia ya maandishi. Leo jinsi tunavyojisikia baada ya kumpoteza mwenzetu itufunze kupunguza mizaha na mambo mengine ambayo ni hasi pale member anapowasilisha uzi wake

Pia wale mliooneshwa kuguswa na nyuzi za marehemu kipindi cha uhae wake nawasihi muendeleze moyo huo huo kwa members wengine wa jf na hata kwenye maisha yenu ya kawaida nje ya jf. Changomoto ni nyingi tunahitaji utu, huruma na roho za kujitolea kwa ajili ya wenzetu.
 
Ndugu huna cha kujilaumu! Tena Ahsante kwa kuwa na Utu wa kumsaidia mtu kwa kuwa ana shida, bila ya kujuana naye kwa undani. Binafsi huyu marehemu alinishirikisha baadhi ya masuala na nilisaidia nilivyoona itamsaidia. Kati ya ujumbe wa mwisho nafikiri ni Desemba, aliniarifu wamempatia vyeti vyake na ameahidiwa uwezekano wa kupata kazi kama si Januari ni Februari.
Kinachoniacha hoi ni leo hii kujua kuwa sikuwa peke yangu niliyemsaidia, na ambacho sielewi zaidi ni kwa vipi mtu anayepewa aina mbalimbali ya misaada iwe ni mawazo, fedha, connections, n.k. ,tena na watu baki bado anakuwa na hali ya kukata tamaa mpaka kujitoa uhai wake?
Hatuwezi kupata majibu, ila bado inanishangaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama 1.6m ilikuwa ni tatizo, kwani alishazipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Engineers ni watu wa.ajabu sana eti wameweza tengeneza ARTIFICIAL INTELLIGENCE Ila wameshindwa tengeneza kifas za kupima mental pressure .


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amini usiamini ufunguo wa mafanikio yako upo kichwani mwako ,nikiona MTU anajiua eti kwasababu ya ugumu wa maisha huwa nasikitika sanaa nikifikiria struggle nilizopitia Mimi,aise kuna watu wamepitia maisha mabaya sanaa had I sasa hawana mbele wala nyuma lakini hawakati tamaa wako happy tu,nilichojifunza katika maisha epuka kukaa sehemu moja kwa muda mrefu na epuka kuwa na marafiki wale wale ,kwa mfano kama huna Nazi unaishi Dar ,tafuta marafiki mikoa mingine ,tena ujenge utamaduni wa kutembea kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kukutana na watu na vitu vipya hakika haitokuja kukataa tamaa kamweeee...my life experience .25 yrs unajinyoka coz of life ,labda kwa mengineyo ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila tumetofautiana...mm had mtu aje pm najua ni timamu..lazima nireply aise! Tusipende kidharau mambo hata km madogo..tubu! Na badilika
Alinitafuta kipindi hicho nilikuwa nimebanwa Sana.

Pm huwa najitahidi Sana kujibu
Ila nimekuwa nikiexperience hii kitu ya kupokea pm za mizaha sana..hii Hali ikanifanya misiwe active Sana..hasa nikiona username siielewi.

Ila nikiri tu, baada ya ule uzi wake wa ada nilipanga kumtafuta kuongea naye lakini sikutimiza mpango wangu

Maskini Mimi sijui alitaka kunambia Nini,ila baadaye nilimjibu...hakurespond Tena.
MUNGU wa rehema amekwisha nirehemu..nimetoka kuomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama aliamua kumkomoa, kwa kosa gani? Binadamu ni wagumu sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikitika sana...sana...
Kuna watu hii Jf ni kimbilio la kupoza moyo kwa kutoa yaliyo moyoni....
Lakini kuna viumbe humu ni wanyama... ..humu ni.kama sehemu ya kutema nyongo zao..
Hata kama kuna mwelekeo wa ukweli..wao watasimama kidete kukejeli..matusi..na dhihaka za kumkatisha mtu tamaa..kabisa azidi kujiona dhalili !
Hata wale wachache wenye moyo ya kutoa basi pia watatumia nguvu nyingi.. kuwavunja moyo...kisa eti aliwahi saidia mtu akamtapeli!

Tuache unafiki ...

Akifikwa mtu ndio wanajitokeza kusikitika..hizo kauli zitawashitaki na nafsi zenu zitawahukumu ..mngali hai mdhalilike ... ... vile vile!
Kama huna au hutaki ni bora kunyamaza.. ... mnamsema mtu vibaya namna ile?
Looh!
Kwa hali inavyokwenda...tutegemee mengi kujitokeza!
Imefikia hadi humu pia mtu aogope kusema la moyoni..kisa wanaharamu fulani..watafufuka na kumshambulia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imenisaidia sana mimi, kuna watu walikuwa wananizodoa eti unasema una hali ngumu ila kutwa kiguu na njia ila imenisaidia sana, ningebakia palepale huenda hata mimi ningekuwa marehemu....hata kama si kwa kujinyonga yangeniua hata magonjwa maana hata yenyewe hayakuwa nyuma kunishambulia, yaani kama nina ukimwi vile likitoka hili linaingia hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, Usiwe unapenda chukulia siasa too personal aisee!
Zile mishe nilishapata ufumbuzi wake na nikaendelea nazo. Sorry sikukupa feedback
Uwage flexible sisi wengine issue za political attacks hazitumaliziagi utu yaani tunaziachaga kwenye Uzi husika na ukija Uzi mwingine inakuwa issue nyingine, ivo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…