Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Dah![emoji25][emoji25]Niliwasiliana nae pia early January akawa anasema anaendelea vizuri tu ananiuliza progress za issue yake ya kazi, then nikamtafuta February hakuwa hewani so I was like akipatikana nitamcheki, later nikapata info kuwa simu yake imefungwa na tcra, nikajiambia kuwa will find him issues zikiwa fine, today nasoma amezikwa dah!
Nimehakikisha hizi taarifa kwa wazazi wake pamoja na wadau wote tulowasiliana kwa hii issue wamesikitishwa na uamuzi but hakuna namna Robin mwenda zake keshazikwa.
Wazazi wake wanatoa shukrani kwa wote waliomjali kijana wao.
Bado naendelea na mawasiliano na wazazi wake kwaajili ya faraja na ombi langu nyote mloguswa na kifo chake kwa namna ya pekee Mungu awafarijni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app