TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Mkuu eti inawezekana mdogo wa marehemu atumie simu ya aliyekufa kwa muda wote huo, bila hata kubadili sim card. Sasa ana lengo gani nayo. Hatujui.
Mimi nilipewa simu ya babu yangu nikae nayo alipokufa baada ya miezi miwili nikaizima.

Nafikiri na yeye bado hajatumiza miezi miwili nayo
 
Danpol,
Umesema kweli mkuu saidia tu usihofu masuala ya utapeli .mambo mengine tunajikoseshaga baraka za Mungu hihvi !tunamfukuza Malaika hivihivi!
Mimi ninachukiwa had na hubby kwa kusaidia lakini naamini mm mpitaji tu siku yyt nadanja..nani atasaidia boys wangu wale!
 
Ni changamoto za maisha.
Hatupaswi kukata tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingine Huyo Hapo.... Wenye kujua namna ya kufanya follow up wafanye ili kupima magnitude ya tatizo ili apewe msaada...

NB: Guys msaada Sio pesa tu Kuna mtu alikuja humu majuzi akasema anahitaji kibarua chochote malipo iwe Mlo ili aishi tu kutokana na ugumu wa maisha (nimeshindwa kuupata Uzi ili niuweke Kama reference msome)....


Kuna level ya matatizo mtu anakuwa ameshaathirika kisaikolojia hata Kama akisaidiwa Kama msaada wa kisaikolojia utaachwa nyuma Huyo mtu tunaweza mpoteza ... Nowdays suicidal cases Tanzania zinaongezeka mno sababu kubwa Ni tunaamini usululuhishwaji wa changamoto ni kumpa mtu pesa tu Basi.



Onyo najua Kuna vibaka wengi watatumia huu mwanya kuingia humu. Tuweni wajanja ... This is a home of great Thinkers ... Marehemu kwenye kuomba Ada aliweka mpaka barua ya Halmshaur ya mtwara ikimtambulisha kuwa achangiwe. Alitoa mpaka jina na chuo kilipo watu wakathibishe changamoto zake... Na alitaka watu wachukue mpaka mawasiliano ya mkuu wa chuo wakaongee nae kuhusu changamoto zake. Lakini Kuna members humu wajiongozwa na YEHODAYA waliendelea kumuita ni tapeli ...


Hivi nakujiita Great Thinkers Hakuna members mtwara wangeweza kutika kwa mkuu wa wilaya kuulizia hili ? Pale Singida Hakuna members wangefika chuoni kwake kuulizia uhalali wa anachodai mwenzetu ... He was bullied ....


Hata Maxence Mello Alishindwa ku-indorse Tangazo la Kijana mwenzetu ili achangiwe ....


Jamii forum ina watu wa kila aina na kila kada , Jamii forum jitahidini mnavyoweza kushughulikia na muanzishe kitengo Cha mambo ya kijamii... Kazi yake ni kufanya assessment kwa wenye mahitaji na kuthibitisha uhalali wa case. Nyie mna network nchi nzima hamshindwi kuwasiliana hata na mkuu wa wilaya atume maafisa ustawi wafuatilie suala mnalotaka kuthibitishiwa hii itafanya kupata watu halali wanaopaswa kusaidiwa maana tunatumia Fake IDs.

Tangu mwaka Jana huyu kwangu ni mtu wa tano anakuja kuomba msaada nasikia kafa kiutani utani.







Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo na mimi nisipopost miezi miwili nakuwa nimekufa..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mwenye real problem na kama anataka msaada aje na full ID yake sio fake ID ili asaidiwe, maana unaweza kumsaidia shetani.
Kuwe na utaratibu, duniani kufa ni kawaida, ukiwa dhaifu unakufa hiyo ni principle ya life. Kama Mungu angekuwa anajali basi na sisi tungekuwa tunajali habari za kifo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguani waheadi wewe umesoma nilichoandika kweli na ukaelewa au umeshakunywa mataputapu unakuja kubeua Sasa....


Nyuma ya fake ID yoyote Kuna real people... Hizi sio robotic ID na ndio maana nimeandika hizo processes ili kujua uhalali wa case taahira wewe. Nyie ndio kutwa kuzihaki watu Jamii forum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, amenisikitisha sana, sikuwahi kuwa karibu nae kivile lkn alivyoletaga andiko lake kwa mara ya kwanza nilimtia moyo sana
 
Marehemu mm nilikua nachat naye sana kwanza ni mlalamishi kwa kila kitu..then alikua na hasira! Apumzike tu sasa
Dada @Wagari Maathai hivi yule Mayala B si yule dogo msukuma(beira) mnapenda kutaniana sana humu jukwaani , maana huwa nazani ni moja ya ID yake. Naomba ufatilie.....nilitaka niku-PM ila umefunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…