lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Auz, Stress na depression haitibiwi tu na pesa , connection au chakula
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Easy madameNop..huwez kumbuka coz ww ndo ulinitenda! Acha ibaki hvhv!
Mkuu eti inawezekana mdogo wa marehemu atumie simu ya aliyekufa kwa muda wote huo, bila hata kubadili sim card. Sasa ana lengo gani nayo. Hatujui.
Mimi nilipewa simu ya babu yangu nikae nayo alipokufa baada ya miezi miwili nikaizima.
Ni changamoto za maisha.Hii imenisaidia sana mimi, kuna watu walikuwa wananizodoa eti unasema una hali ngumu ila kutwa kiguu na njia ila imenisaidia sana, ningebakia palepale huenda hata mimi ningekuwa marehemu....hata kama si kwa kujinyonga yangeniua hata magonjwa maana hata yenyewe hayakuwa nyuma kunishambulia, yaani kama nina ukimwi vile likitoka hili linaingia hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama aliamua kumkomoa, kwa kosa gani? Binadamu ni wagumu sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni forms za depression na bipolar iliyokomaa , alijitaji pia msaada wa kimawazoMarehemu mm nilikua nachat naye sana kwanza ni mlalamishi kwa kila kitu..then alikua na hasira! Apumzike tu sasa
Nadhani Roho ya mauti ilimvaa.Hahaha.
Eti?
Amejiua despite watu kumchangia more than a million. He didn't even feel a sense of being indebted to them.
Suicidal thoughts zikishatawala imetoka hiyo
TANZIA:
MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI
Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 / 01/2020.
Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga.
Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka january hiyo na alikuwa akituma txt za kawaida kwenye namba zake tatu hazifanikiwi kumfikia.
Akajaribu tena jana jumapili tarehe 23 asubuhi txt zikapokelewa na kujibiwa kwa ukali kidogo na simu kufungwa. Rafiki yake alituma txt zaidi zilizopokelewa jioni na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdogo wake. Mdogo wake huyo ndiye alietoa taarifa ya kifo hicho.
Marehemu alizikwa kwao Iringa
Amewahi andika:
1) Daah! Haya maisha bwana, mi yanaelekea kunishinda! Hivi ni sumu gani inaua haraka bila mateso?
2) Maisha yamekuwa hayana jema kwangu nashangaa kwanini sifi
3) Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi
4) Mengine haya huumiza, Tusaidiane...
5) Mrejesho: Naomba msaada wa ada
6) Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana
Utakuwa mchawi wewe , hivi unajua stress wewe ? Wanajiua matajiri wenye magari na majumba sembuse simu ya infinix Tena Chinese brand ?Mtu anamiliki infinix note 8 alafu anajiua maisha magumu? Mnautani nyie
Mwingine Huyo Hapo.... Wenye kujua namna ya kufanya follow up wafanye ili kupima magnitude ya tatizo ili apewe msaada...
NB: Guys msaada Sio pesa tu Kuna mtu alikuja humu majuzi akasema anahitaji kibarua chochote malipo iwe Mlo ili aishi tu kutokana na ugumu wa maisha (nimeshindwa kuupata Uzi ili niuweke Kama reference msome)....
Kuna level ya matatizo mtu anakuwa ameshaathirika kisaikolojia hata Kama akisaidiwa Kama msaada wa kisaikolojia utaachwa nyuma Huyo mtu tunaweza mpoteza ... Nowdays suicidal cases Tanzania zinaongezeka mno sababu kubwa Ni tunaamini usululuhishwaji wa changamoto ni kumpa mtu pesa tu Basi.
Onyo najua Kuna vibaka wengi watatumia huu mwanya kuingia humu. Tuweni wajanja ... This is a home of great Thinkers ... Marehemu kwenye kuomba Ada aliweka mpaka barua ya Halmshaur ya mtwara ikimtambulisha kuwa achangiwe. Alitoa mpaka jina na chuo kilipo watu wakathibishe changamoto zake... Na alitaka watu wachukue mpaka mawasiliano ya mkuu wa chuo wakaongee nae kuhusu changamoto zake. Lakini Kuna members humu wajiongozwa na YEHODAYA waliendelea kumuita ni tapeli ...
Hivi nakujiita Great Thinkers Hakuna members mtwara wangeweza kutika kwa mkuu wa wilaya kuulizia hili ? Pale Singida Hakuna members wangefika chuoni kwake kuulizia uhalali wa anachodai mwenzetu ... He was bullied ....
Hata Maxence Mello Alishindwa ku-indorse Tangazo la Kijana mwenzetu ili achangiwe ....
Jamii forum ina watu wa kila aina na kila kada , Jamii forum jitahidini mnavyoweza kushughulikia na muanzishe kitengo Cha mambo ya kijamii... Kazi yake ni kufanya assessment kwa wenye mahitaji na kuthibitisha uhalali wa case. Nyie mna network nchi nzima hamshindwi kuwasiliana hata na mkuu wa wilaya atume maafisa ustawi wafuatilie suala mnalotaka kuthibitishiwa hii itafanya kupata watu halali wanaopaswa kusaidiwa maana tunatumia Fake IDs.
Tangu mwaka Jana huyu kwangu ni mtu wa tano anakuja kuomba msaada nasikia kafa kiutani utani.
View attachment 1369297Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga. Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa. Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguani waheadi wewe umesoma nilichoandika kweli na ukaelewa au umeshakunywa mataputapu unakuja kubeua Sasa....Mtu mwenye real problem na kama anataka msaada aje na full ID yake sio fake ID ili asaidiwe, maana unaweza kumsaidia shetani.
Kuwe na utaratibu, duniani kufa ni kawaida, ukiwa dhaifu unakufa hiyo ni principle ya life. Kama Mungu angekuwa anajali basi na sisi tungekuwa tunajali habari za kifo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, amenisikitisha sana, sikuwahi kuwa karibu nae kivile lkn alivyoletaga andiko lake kwa mara ya kwanza nilimtia moyo sanaMimi pia nina tatizo kama lake ( kutosikia vizuri) .nilitumia hali hiyo kumpa moyo kila namna kwamba it's OKAY.nilikuwa nampa maneno ya kila namna kumuongezea nguvu ya mapambano ya maisha.but alikuwa na moyo mwepesi mnoo.amenisikitisha sana kwa maamuzi aliyochukua.nimejikuta namwaga chozi kutwa nzima leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada @Wagari Maathai hivi yule Mayala B si yule dogo msukuma(beira) mnapenda kutaniana sana humu jukwaani , maana huwa nazani ni moja ya ID yake. Naomba ufatilie.....nilitaka niku-PM ila umefungaMarehemu mm nilikua nachat naye sana kwanza ni mlalamishi kwa kila kitu..then alikua na hasira! Apumzike tu sasa
Halafu nili Dada... Devilish WomanYEHODAYA ni mshiriki mkubwa wa kifo cha Robin, silipendi hili lijitu jamani [emoji849][emoji22]