TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Joined
Dec 26, 2016
Posts
17
Reaction score
106
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi

==================

 
RIP ..... Mungu awape wepesi ndugu , majirani pamoja na marafiki zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…