TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Poleni sana wafiwa wote Mungu awape roho ya uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
 
Pumzika kwa Amani mpendwa....sote tu njia moja
 
Alikuwa anaumwa na anefariki wapi na msiba upo wapi?

Your name is Konda wa Boda Boda, your brain matches your name.

Jamaa kasema vyote hivyo atavi-update later,wewe unauliza the same issue hapo hapo. Tanzania ya Viwanda inakuja,ila kama machine operators ndiyo wa aina yako Basi na icje tu.

R.I.P Kamanda. Upumzishwe unapostahili
 
Back
Top Bottom