chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Mkuu kwa taarifa yako wenzako washazaa na kuzaa kwa kutongozaniana humu...Aise hivi kumbe humu JF kuna watu mnafahamiana. Mimi simjui yeyote yule ila tukiwa ofisini au mtaani marafiki zangu wengi tunapiga story za JF lkn hamna anayejua ID ya mwenzake.
Kuna member mmoja kasema msiba uko bunju Na mazishi ni Leo.Msiba utakua wapi
Pole, kumbe ulikuwa unamfahamu kabisa.!RIP Dena Amsi,sikujua kuwa Wewe ni mtu ninayekujua Daah. Nitakuja kukuaga Alhamisi.
Mkuu any updates....Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.
Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.
R.I.P Dena Amsi
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mkuu kwa taarifa yako wenzako washazaa na kuzaa kwa kutongozaniana humu...
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.
Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.
R.I.P Dena Amsi
Mazishi sio leo kama sikosei nadhani mwili utaagwa alhamisiKuna member mmoja kasema msiba uko bunju Na mazishi ni Leo.
Bunju AMsiba utakua wapi