TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi
Mkuu any updates....
 
Buriani Dena Amsi.
Sisi wana JF tunatoa mkono wa kwaheri.
Rambirambi na maombolezo yetu ni heshima kwako.
Mwenyezi Mungu na akufutie hatia zako zote. AMEN
Sisi ni waja wake na kwake tutarejea.
 
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi

Pumzika Kwa Amani ndugu.... pole Kwa familia yake[emoji1488][emoji1488]
 
Back
Top Bottom