TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Kwa mnaotaka kujua chanzo ni kwamba alikuwa na matatizo ya kisukari tangia akiwa Nairobi, tarehe 24/12 kisukari kilipanda kwa kasi kikachanganya na presha, akakimbizwa zahanati ya karibu lakina hali ikazidi kuwa mbaya, ikabidi apelekwe Hospital ya Rabninsia lakini baada ya muda mchache akakata roho.
 

Nimefurahi kukusoma Eiyer japokuwa ni kuhusiana na tukio la kuhuzunisha.
Aah dada Dena Amsi tulifahamiana kitambo bila kuhusianisha id yake. Nimesikitika mno. Niliweza kushiriki kumsindikiza kwenye safari yake ya milele leo hii.
Lala salama mumie. Amen!
 
Ahsante sana Mkuu kwa kutimiza ombi langu. Ubarikiwe sana Mkuu. Mungu amlaze mahali pema peponi.

 
Poleni sana
 
Mkuu kuna post inasema Dena Amsi keshazikwa leo tisa alasiri, hiyo alhamis utamuaga nani tena
Yeah Dena amezikwa leo kuna watu ambao walikuwa wakitoa taarifa ambazo sio ramsi
 
Nakumbuka miaka ya 2010 2011 nilivyokua napambana nae! Kimawazo na kimrengo...sijui kwnn namkumbuka ashadee
 
hongera kumsindikiza inahuzunisha sana
 
This is very touching message mkuu, may her Soul Rest In Peace and let perpetual light shine upon her.
 
"KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. NA BILA YA SHAKA MTAPEWA UJIRA WENU KAAMILI SIKU YA QIYAMA. NA ATAKAYE EPUSHWA NA MOTO NA AKATIWA PEPONI, BASI HUYU AMEFUZU. NA MAISHA YA DUNIA SI KITU ILA NI STAREHE YA UDANGANYIFU/PUMBAO"
Baarakallahu Fiika/Baarakallafu Fiiki.

RABBANAA ATMIM LANAA NUURANAA WAGHFIRLANAA.

RABBANAA TAQABBAL MINNA, INNAKA ANTASAMIIUL ALIIM.

RABBANAA AFRIGH ALAYNAA SWABRAWWATAWAFANAA MUSLIMIIN.

RABBANAA MAA KHALAQTA HAADHAA BAATWILAN SUB HAANAKA FAQINAA ADHAABANNAR.

RABBANAA DHWALAMNAA ANFUSANAA WAILLAM TAGHFIRL LANAA WATARHAMNAA LANAKUUNANNA MINAL KHAASIRIIN.

SUB HAANA RABBINA RABBI IZZAT AMMA YASFUUN,

WASSALAAM ALAL MUR SALIIN,

WAL HAMDU LILLAH RABBIL AALAMIIN
 
Mkuu, haujabongonyoa bao bonye (keyboard) lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…