Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Duuh nimechanganya na msiba mwingine wa Dada mmoja aitwaye Gens Shoo.![]()
Mazishi yamefanyika leo saa tisa alasiri makaburi mapya mbweni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh nimechanganya na msiba mwingine wa Dada mmoja aitwaye Gens Shoo.![]()
Mazishi yamefanyika leo saa tisa alasiri makaburi mapya mbweni
Mkuu za masiku....Duuh nimechanganya na msiba mwingine wa Dada mmoja aitwaye Gens Shoo.
Wakati nausoma huu uzi kwa masikitiko makubwa sana nimekutana na memba wa kitambo ambao walipotea...
Hii inaonekana kuna mawasiliano baina ya kila memba kutokana na ukaribu uliokuwepo hapa wakati wa kuchangia mada na imeleta urafiki...
Ni jambo jema sana hili,msiba wa Dena umetukutanisha tena...
Dark City
Rejao
ram
charminglady
Mr. Rocky
Belinda Jacob
Asprin
Na wengine wengi niliowaona humu...
NIseme tu ukweli kwamba huu msiba umeniuma sana sina la kufanya,Mungu amrehemu sana rafiki yangu Dena...
Daaah!!
Kwa mnaotaka kujua chanzo ni kwamba alikuwa na matatizo ya kisukari tangia akiwa Nairobi, tarehe 24/12 kisukari kilipanda kwa kasi kikachanganya na presha, akakimbizwa zahanati ya karibu lakina hali ikazidi kuwa mbaya, ikabidi apelekwe Hospital ya Rabninsia lakini baada ya muda mchache akakata roho.
Poleni sanaKwa mnaotaka kujua chanzo ni kwamba alikuwa na matatizo ya kisukari tangia akiwa Nairobi, tarehe 24/12 kisukari kilipanda kwa kasi kikachanganya na presha, akakimbizwa zahanati ya karibu lakina hali ikazidi kuwa mbaya, ikabidi apelekwe Hospital ya Rabninsia lakini baada ya muda mchache akakata roho.
Yeah Dena amezikwa leo kuna watu ambao walikuwa wakitoa taarifa ambazo sio ramsiMkuu kuna post inasema Dena Amsi keshazikwa leo tisa alasiri, hiyo alhamis utamuaga nani tena
hongera kumsindikiza inahuzunisha sanaNimefurahi kukusoma Eiyer japokuwa ni kuhusiana na tukio la kuhuzunisha.
Aah dada Dena Amsi tulifahamiana kitambo bila kuhusianisha id yake. Nimesikitika mno. Niliweza kushiriki kumsindikiza kwenye safari yake ya milele leo hii.
Lala salama mumie. Amen!
This is very touching message mkuu, may her Soul Rest In Peace and let perpetual light shine upon her.Natamani sana angekuwa anazisoma hizi msg na condolences zenu kwakweli inauma sana lakini ndo hivyo Mungu keshatoa uamuzi wake tushukuru tu.
Kifupi huyu Dada ndio alini introduce kwenye Jamii Forums maana alikuwa akirudi home atakaa kwenye laptop akisoma na kuchangia huku akicheka saana! Ilinibidi nimsogelee kumuuliza mbona peke yake kucheka na laptop kila akirudi home na sisi kutupa muda mfupi wa maongezi naye?
Ndipo akanionesha jf na akaielekeza namna ya kujiunga.
Dena Amsi yaani jina la Bibi yake mzaa Babaake sio Id aliyoanza nayo humu, alianza na nyingine nimeisahu kwa mshtuko nilio nao juu ya msiba huu, ila ndugu mtabuzi anaweza kunisaidia kukumbusha id ya kwanza ilikuwa ipi.
Tumempumzisha leo yapata saa tisa alaasiri kwenye makaburi mapya Mbweni Dsm.
Sisi ni Wakristu tunaoamini katika uzima wa milele, hivyo tufarijike kwamba mwenzetu kapumzika katika utukufu wa Mungu Baba.
Amen barikiwa mkuuThis is very touching message mkuu, may her Soul Rest In Peace and let perpetual light shine upon her.
Baarakallahu Fiika/Baarakallafu Fiiki."KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. NA BILA YA SHAKA MTAPEWA UJIRA WENU KAAMILI SIKU YA QIYAMA. NA ATAKAYE EPUSHWA NA MOTO NA AKATIWA PEPONI, BASI HUYU AMEFUZU. NA MAISHA YA DUNIA SI KITU ILA NI STAREHE YA UDANGANYIFU/PUMBAO"
Mkuu, haujabongonyoa bao bonye (keyboard) lako?Baarakallahu Fiika/Baarakallafu Fiiki.
RABBANAA ATMIM LANAA NUURANAA WAGHFIRLANAA.
RABBANAA TAQABBAL MINNA, INNAKA ANTASAMIIUL ALIIM.
RABBANAA AFRIGH ALAYNAA SWABRAWWATAWAFANAA MUSLIMIIN.
RABBANAA MAA KHALAQTA HAADHAA BAATWILAN SUB HAANAKA FAQINAA ADHAABANNAR.
RABBANAA DHWALAMNAA ANFUSANAA WAILLAM TAGHFIRL LANAA WATARHAMNAA LANAKUUNANNA MINAL KHAASIRIIN.
SUBHAANA RABBINA RABBI IZZAT AMMA YASFUUN,
WASSALAAM ALAL MUR SALIIN,
WAL HAMDU LILLAH RABBIL AALAMIIN