hahahahaha hiyo kali mkuu lol!!Wakati wa zawadi Bukoba nzima itajua tu kuwa kundi la wana JF linaenda kutoa zawadi. Ila sasa baadae mtataka picha zake ......mie nitapiga za mgongo kama alivyojipiga hiyo ya kisogoni
Usitamani mke asiye wako!halafu anaonekana kifaa kweli watu wanafaidi jamani...lol
Ahaaa!!hamsini!vikao vinafanyikia wapi? omumwani au buyekera? tujuzane jamani.ninyenda akaramba waitu.
------- SONG ------
Ugambecho kibero kueke..
Ugambecho kitanda kushwele bojo. Mia
Ahaaa!!hamsini![/QUOT
Haitoshi waambie laki mbili