Mwana JF aitwaye Kuberwa kuolewa

Mwana JF aitwaye Kuberwa kuolewa

Wakati wa zawadi Bukoba nzima itajua tu kuwa kundi la wana JF linaenda kutoa zawadi. Ila sasa baadae mtataka picha zake ......mie nitapiga za mgongo kama alivyojipiga hiyo ya kisogoni
hahahahaha hiyo kali mkuu lol!!
 
Kuberwa kila la kheri katika maandalizi na ndoa Pia.
Mwenyezi Mungu akubarikini iwe ndo ya amani na upendo wa dhati!

Pamoja Saana.

AshaDii.
 
jamani karibuni! Harusi ni kesho hapa Kamachumu. Nashukuru kwa pongezi zenu za dhati na support, Mwenyezi awabariki nyote. Munyegere na ababuhaya
 
Back
Top Bottom