Mwana JF bora 2016.. OVERALL

Habari mchanganyiko mshana jr
MMu @Lara1
tekinelojia Mkwawa
Hayo majukwaa yangu ninayopita

Mkuu all in all,lara1 anatuburudisha.she is a story teller.ukisoma posts zake unafurahi.Mshana J nae ni mzuri kwenye mambo yasiyoonekana.Pasco ni mzuri kwenye kutupa feedback ya kinachoendelea kwenye siasa.Ukiacha Pasco pia kwenye GT kuna vichwa kama wakina Mkuu Nguruvi(respect),na wengine wengi.Naomba tuzo za heshima zitolewe kwenye kila groups.kwenye group la MMU namchagua Lara1.kwenye GT namchaguaNguruvi.kwenye siasa namchagua Pasco.kwenye habari mchanganyiko namchagua Mshana J na Faiza Foxy.kwenye celebrities namchagua Lara1,Nifah na Warumi
 
Madame B unanikuna sana kumtima wangu.
Ukitaka nikukune vizuri, nitafute nikiwa nimelewa......mtima wako utaruka ruka kwa furaha.
Afu wewe mbona kule sikuoni?
Jimama gani amekuteka?
Afu nikikuona, najisahau kama niko CC najua tuko JLW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…