supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Hance mtanashati na Iceman 3D
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
supermarket,ushimen,mkwepakodi, [HASHTAG]#chief[/HASHTAG] Eng,miss & mr natafuta,pasco mayalla
na wote mnaosoma hii post
Thanks mkuu[emoji120]supermarket,ushimen,mkwepakodi, [HASHTAG]#chief[/HASHTAG] Eng,miss & mr natafuta,pasco mayalla
na wote mnaosoma hii post
Naomba nipingane na wewe kuna wanajukwaa wengine ni hewa yani in wapumbavu wamevuka ujinga na hakuna cha kujifunza kutoka kwao, mfano ni LizaboniHakuna aliyebora zaidi isipokuwa wote ni bora.
Anayepost ujinga tunajifunza
Anayepost ya maana tunayatafakari na kuyafanyia kazi.
Kwangu humu ndani wote bora, kwani mwerevu anaweza kujifunza zaidi kutokana na mambo ya kijinga kuliko mjinga kujifunza kutokana na mambo ya busara.
Hivyo kila mmoja humu ni muhimu na ana nafasi yake katika kuiendeleza jamiiforums.
Yeah yeah!
Chonde chonde, usije kusababisha akapunguza kutupa uhondo!
Tena nimeshajua, nikitaka story flani nafanya c/o Nifah.
Sio kwamba ndio atazidisha uhondo ili amfurahishe bae azidi kuwa proud na yeye?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila shaka