Mwana JF bora 2016.. OVERALL

Bora kwenye nini?kila mtu ana ubora wapo bora kwenye kuzusha,pumba,wambea,wachambu nk
 
Sasa ww unataja wengi basi titlte itabidi iwe "Boras"

Hao ni watu ambao kwangu sijui niache yupi nimchukue yupi, hasa kwa burdani wanayoitoa ya uandishi bila kutulipisha.

Wana-invest muda na akili kufanya kitu ambacho kwingine hukipati bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…