Mwana JF bora 2016.. OVERALL

Mwana JF bora 2016.. OVERALL

Niffah and all arsenal fans espcially Wacha1 na mapicha yake matamu ya pale colney pia azim sokoine
 
ili mtu awe bora lazima awe amefanya yafuatayo:
1. ametoa fursa za ujasiria mali hapa jf
2. ametoa misimamo ya namna ya kujikomboa kutoka kwenye umaskini hadi utajiri
3. mada zake zina ukombozi na zina uzalendo kwa mtanzania
4. ameimiza sana vijana kupiga kazi na kujikomboa na umaskini
5. hana itikadi za chama chochote cha siasa,yeye ni mshauri tu wa jambo lolote

MWISHO: MWENYE HIZO SIFA HUMU NDO ATAKUWA GREAT THINKER BORA
 
Mtaje sasa..
 
kwavile si keshagi humu hivo hata sijui yupi ni MWANA JF BORA pia BORA MWANA JF.

ngoja nione.
 
Hakuna aliyebora zaidi isipokuwa wote ni bora.

Anayepost ujinga tunajifunza

Anayepost ya maana tunayatafakari na kuyafanyia kazi.

Kwangu humu ndani wote bora, kwani mwerevu anaweza kujifunza zaidi kutokana na mambo ya kijinga kuliko mjinga kujifunza kutokana na mambo ya busara.

Hivyo kila mmoja humu ni muhimu na ana nafasi yake katika kuiendeleza jamiiforums.
Mwanga lutila
 
Ubora utakuwa mwenye kupendwa michango take like nyingi
 
Back
Top Bottom