danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,524
Hahahahaa, monica na miss natafuta ni bora pia kwa nafasi zao mkuuwana majanga hao watu.....
Atakuwa kajivua gamba kama nyokatechnically,kaja juzi ila anashusha mawee......
Mimi hata nisipomtaja kura yangu iko wazi...
MwanaJF wangu bora ni....
....hahahaha..,mkuda naona unajitangulizia pasi!MALCOM LUMUMBA.
ππππππππ
MsulibasiMimi hata nisipomtaja kura yangu iko wazi...
MwanaJF wangu bora ni....
Wangu ni nifah[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi hata nisipomtaja kura yangu iko wazi...
MwanaJF wangu bora ni....
....hahahaha..,mkuda naona unajitangulizia pasi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]MALCOM LUMUMBA.
ππππππππ
Tumfahamu Mwana JF bora Mwaka huu 2016. hapa ni overall, the whole of JF.
Taja jina, mwenye nyingi Mshindi.
Unaruhusiwa jitaja.
Ahsanteni.
Kweli mkuu tupo pamoja. Jamaa ni mzee wa nondo kama Bujibuji home boytechnically,kaja juzi ila anashusha mawee......