Mwana JF bora 2016.. OVERALL

Naomba nipingane na wewe kuna wanajukwaa wengine ni hewa yani in wapumbavu wamevuka ujinga na hakuna cha kujifunza kutoka kwao, mfano ni Lizaboni
 
Chief mkwawa anafaa zaidi, kiranga amepotea kidogo jukwaani ila jamaa ni hatari
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huyohuyo unayeniona kwenye likes ndiye.
Kama sio yeye nani tena? [emoji6]

Yeah yeah!

Chonde chonde, usije kusababisha akapunguza kutupa uhondo!

Tena nimeshajua, nikitaka story flani nafanya c/o Nifah.
 
Yeah yeah!

Chonde chonde, usije kusababisha akapunguza kutupa uhondo!

Tena nimeshajua, nikitaka story flani nafanya c/o Nifah.

Sio kwamba ndio atazidisha uhondo ili amfurahishe bae azidi kuwa proud na yeye?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…