MWana JF LeO naingiaaa..kwa mbaliiiii ukumbiniiii..mawimbi yananipeperusha...

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
MWana JF LeO naingiaaa..kwa mbaliiiii ukumbiniiii..mawimbi yananipeperusha...Bwana Yesu Kristo Asifiwe...Asalamm aleeeykum mabibi na mabwana...Tumsifu YESU KRISTO...MAMBOO...NI GANI?? MKO POA!!! POLENI SANA NA HONGERENI kwa kulijenga taifa kwa njia ya majadiliano...nadhani tutashirikiana vyema tu katika kulijenga taifa kupitia njia ya kujenga hoja na kuusema ukweli!! Nawapenda Wote!!!
 
mbona umeingia kama mwenyeji?...dizain kama nakufahamu...au nakufananisha?...
karibu sana!
 
huo mkwara.....
 
mbona umeingia kama mwenyeji?...dizain kama nakufahamu...au nakufananisha?...
karibu sana!
Hata mimi dizain nakufahamu vile..nambie wapi tena mkuu
 
Hahahahaaaa karibu sana Mwanangonjera
Umenikumbusha mbali sana
 
Back
Top Bottom