Mwana JF maarufu ni yupi?

Mwana JF maarufu ni yupi?

Hawawezi kuwa wajomba zangu hao. Wajomba zangu wana hekima sana.

Mumoja yure halienda itaria nimujomba wagu na ana ekima sana amehoa muzungu? Ukumbuki mujomba wa itaria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe brother wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]
 
Mayala anajulikana hadi na raisi [emoji3][emoji3] na mayala maana yake njaa... Ila ukiachana na kujulikana na raisi mshana jr aka ganga la kienyeji linajulikana sana humu na lipo sehemu nyingi kwenye threads
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu niambie sifa zote maana nasikia ni pombe yenye kuleta malengelenge kichwani.
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijui kama Ni pombe...
Ni jina langu,Tena lilitokea ibada ya fellowship huko...saint nimeongea tu
 
Back
Top Bottom