Mwana JF mmoja atujengee kiwanda basi

Mwana JF mmoja atujengee kiwanda basi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wana jf sisi ni Kama ndugu.niseme tu ukweli Mimi Sina hela Wala Sina ajira lakini natambua siko peke yangu vijana wengi tu humuhumu jf hatuna michongo tunaunga unga tu hivohivo.sasa wakuu wenzetu ambao mko vizuri (nazungumzia member ambao ni mabilionea) nashauri mtengeneze likiwanda la kuzalisha bidhaa yoyote alafu mtuajiri sisi member wenzenu ambao hatuna kazi .sisi ndo tuwe kipaumbele kwenye ajira tunawaahidi tutachapa kazi tukiingia shift simu tunazima hakuna kuchungulia chungulia jf ni kazi kazi.naamini wapo huku wenzetu matajiri mmoja ajitokeze basi Tena hiko kiwanda kikubwa unaeza hata ukakiita JF company limited bidhaa utajua mwenyewe.naombeni mlifanyie kazi wazo langu.vibarua ambao ni ma great thinker tunapatikanika humuhumu.niko serious
Kwa mawasiliano zaidi ni PM.
 
mimi mnipe kazi ya udereva wa malori kama yatakuwepo.
 
Labda tumshawishi max melo anzishe tv yake alafu kuwe na free coll ambayo mtu utajisikia kupiga cm kutoa lalamiko lake la moyoni kama anavyofanya hapa jf kwa fake id yaani kule atakuwa na kifaa maalum ambacho hakiwezi kuchukuliwa data za mpiga cm
 
Maskin wa jf wote atatuajiri
Huyo jamaa hamna kitu Jana kaniahidi na hajatimiza Hadi PM nimeenda kimya
Hahaha, jamaa ni komediani wa ukweli.
Hana hela Anamilik mikwara tu
Screenshot_20180930-150236.jpeg
Screenshot_20180930-150247.jpeg
Screenshot_20180930-150300.jpeg
Screenshot_20180930-150308.jpeg
 
Back
Top Bottom