ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wana jf sisi ni Kama ndugu.niseme tu ukweli Mimi Sina hela Wala Sina ajira lakini natambua siko peke yangu vijana wengi tu humuhumu jf hatuna michongo tunaunga unga tu hivohivo.sasa wakuu wenzetu ambao mko vizuri (nazungumzia member ambao ni mabilionea) nashauri mtengeneze likiwanda la kuzalisha bidhaa yoyote alafu mtuajiri sisi member wenzenu ambao hatuna kazi .sisi ndo tuwe kipaumbele kwenye ajira tunawaahidi tutachapa kazi tukiingia shift simu tunazima hakuna kuchungulia chungulia jf ni kazi kazi.naamini wapo huku wenzetu matajiri mmoja ajitokeze basi Tena hiko kiwanda kikubwa unaeza hata ukakiita JF company limited bidhaa utajua mwenyewe.naombeni mlifanyie kazi wazo langu.vibarua ambao ni ma great thinker tunapatikanika humuhumu.niko serious
Kwa mawasiliano zaidi ni PM.
Kwa mawasiliano zaidi ni PM.