mr.general
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 989
- 610
Hapo sawaMama ntilie nipo wa kulisha mafundi wakati ujenzi na waajiriwa baada ya kiwanda kuisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawaMama ntilie nipo wa kulisha mafundi wakati ujenzi na waajiriwa baada ya kiwanda kuisha
Chura ipo?Mi nitakuwa secretary wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikanye bure
Anaajiri wenye chura tu?Chura ipo?
Hapana, ila anataka secretary ambae chura ipo!Anaajiri wenye chura tu?
UsimsingizieeHapana, ila anataka secretary ambae chura ipo!
We nae acha kuomba pesa wanaume wenzio,mtu akiandika humi we unaamini tu lo
Watu wa humu bana nahisi andunje alicheka nusura azimieKamchukulia serious, hahaha.
Atakuwa shoga huyu' dume zima unalazimisha upewe hela na mwanaume mwenzioWe nae acha kuomba pesa wanaume wenzio,mtu akiandika humi we unaamini tu lo
Watu wa humu bana nahisi andunje alicheka nusura azimie
Sana tuAnduje ni shida, mimi huwa namwelewa na mbwembwe zake za hekalu la Bunju.
Sana tu
Duuh,We nae acha kuomba pesa wanaume wenzio,mtu akiandika humu we unaamini tu lol
Mm ntajitolea fremu bure..jamani kuna mtu kajitokeza ana wazo la kuanzisha kiwanda msikilizeni ili ndoto ya mtoa post itimie hatimaye watu wapate ajira humuNatafuta mtaji nianzishe kiwanda cha sambusa. Sponsors please!
Vimefanyaje.mkuu hivi vyerehanVyerehani [emoji848]
Vinne vinatosha kua kiwandaVimefanyaje.mkuu hivi vyerehan
Kumbe ndio mkuu hasa ile yenye nyuzi nyingi ukinunua vitambaaa vya majeans kama.elfu 10000 hivi wafanya kazi wakianza ndani ya mwezi wameshona majeans special mia 200 ukiyauza inapata peda yakununulia cherehani na kuwalipa mshaharaVinne vinatosha kua kiwanda